@>~~Natoa like ya 5000 (my 5000th like)~~<@

QUOTE=Roulette;4432457]Ah, mi najua napendwa hata bila likes. Kuna watu wanatoa kwa kuhesabu utasema wanapungukiwa na kitu. wengine wanatamani kutoa ila wanashindwa sababu ya vyombo wanavyo tumia.
Haya basi, kama unataka hiyo rep power nambie kitu kizuri maybe it's your lucky day...[/QUOTE]

Roulette asante sana na kweli naamini unapendwa sio kidogo maana kila mmoja anaitamani hiyo like yako ya 5000
Sio kwamba unapenda tuu kuzitoa ila nmaamini wapo watu ambao wanakufurahisha na post zao na ambao wanajua wanaandika nini kwa wakati gani na kwa nini
Uwe na moyo huo wa kupenda na kupendwa maana ndio nguzo kuu itakufanya uendelee kuyaona maisha mazuri kwa wakati wote huku tabasam lisiishe usoni mwako hata katikati ya majaribu na huzuni maana naamini yuko mmoja tuu ayashindaye yote hayo yaani Allah
 
Last edited by a moderator:
Hi all

Jamani humu JF mwenzenu naona raha kutoa like pale ninapo kutana na post ya kufurahisha. Naweza nisiunge mkono hoja ila kama imepangwa vizuri, au kama inafurahisha lazima natoa like. Sometimes nasindikiz
a na reputation power kabisa.

Kila mtu anaweza kutoa rep power. kufatana na combination ya vitu vingi, rep power unayo toa inaweza kua nzito au nyepesi. Mi nikikupa rep power zinaongezeka 5000 kwa mpigo. Atakae pata like yangu atapata na rep power sababu bila shaka post hiyo itastahili!

Leo nimeona, nimesha gonga likes 4999, na nimeona sio vibaya nianzishe bahati nasibu ya kuona like ya 5000 itaenda kwa nani. Leo nitakua mgumu kidogo na criteria zangu za ku-like post zitakua juu kidogo.

Basi naomba leo wana chit chat wenzangu mniridhishe na ka-post kazuri kazuri, kamependeza pendeza.

Just for information, like ya 4000 nimeipokea toka kwa bi Neiwa kule jukwaa la siasa (tarehe 14). Asante mwaya.

:A S 465:Asanteni:A S 465:
Sikia Roulette popote pale ulipo. Siitaki Like yako wala Reputation power. Mara ya mwisho Like yako ilinikwaza nikatenda dhambi. Nani anataka Like yako kipindi hiki cha mfungo ambapo haturuhusiwi kufanya mapenzi na sabuni?

Ukinipa LIKE yako nakuweka kwenye ignore list yangu. Jaribu uone............. Utafiti umeonyesha watu wote walio kwenye ignore list ya ODM wana roho mbaya kama kiatu cha Mugabe kiasi kwamba siku ya Hukumu, malaika wataomba likizo ikifika zamu yake kuhukumiwa.

Baada ya kusema hayo, nakukaribisha tufuturu na Mama Abadallah leo jioni nyumbani kwangu Khartoum.

Wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA, leo mna kazi ya kumhudumia msimamizi wenu Kongosho. Nimemwacha anatapikia mdomo wa chini. Sijui alikula nini jana Yailahi toba??

Kwaherini nyote.
 
haya jitutumueni mpate like!!!!! Asprin hutaki like weeee!!?? twin eversmiling gal njoo upate rep power!! Bishanga a.k.a bepari la kihaya onesha maujanja upate like hyoo!! heee!! Roulette acha kuwatingisha ubongo wenzako!!
 
Last edited by a moderator:
Leo utanieleza kwa kina ulijuaje Superman (huyu kamirusha hela yangu) na gambachovu ni MARIJALI? Ntakusemea kwa msiri wako wallah!!

Mkuu @Aspirin umeona eeh . . . . halafu pesa yako mbona umma wote wa JF ulishatangaziwa kuwa pesa yako anayo @Maxence au Mike McKee. Mbona The Boss na Lizzy walishachukua. Kama vipi waambie wahusika pesa yako iwe converted uwe Premium Member . . . lol.

Afu mkuu taratibu mimi nimeambiwa ni rijali . . .
 
Last edited by a moderator:
Roulette, hebu nigongee like hiyo basi.
Shindano liliisha jana saa sita kamili usiku.

So am the winnerwa hii competishoni.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Roulette mimi hujawahi nipa.......kwa hiyo hii ni zamu yangu na mimi nataka.......usininyime tafadhali
 
hivi Kongosho, unaunderestimate efficiency ya Kaizer? kwenye checklist endurance ana A+, fluid mechanics A+, biomechanics B+, psychomotor coordination A+. kwa ufaulu huu bado ana first class(Hon)

Babe gfsonwin come this way mpenzi. Kongosho hawezi kujua haya mambo. Yeye kazoea kumwimbia babu ODM anadhani na miye pia ndo ivo hata ivyo nimemwalika aje cku moja aniimbie tuone. Lol
 
Last edited by a moderator:
Asprin umekwisha, cacico anajua P.O.P ya shemeji yake Kaizer

Pamoja na alama zote hizo, bado naskia hadi aimbiwe 'simama dede'

khaaa! unasahau kwamba hizo ni lyrics zinazo sapoti psychomotor coordination? kama huamini nenda kwenye aerobics class uone muziki wenye mapigo ndio yenye kuleta action zinazo komply na step husika. naona unapaswa kujiunga darasa langu la physiotherapy aisee!
 
Babe gfsonwin come this way mpenzi. Kongosho hawezi kujua haya mambo. Yeye kazoea kumwimbia babu ODM anadhani na miye pia ndo ivo hata ivyo nimemwalika aje cku moja aniimbie tuone. Lol

my swtlo yaani huyu Asprin aimbiwe lolest! wakati Kongosho hajui kazi ya lyrics hizi? aulize wataalam wa phisiotherapy ama aerobics mapigo hutoa mwelekeo wa steps appropriate for the specific action, intended for specific outcome.
 
Last edited by a moderator:
khaaa! unasahau kwamba hizo ni lyrics zinazo sapoti psychomotor coordination? kama huamini nenda kwenye aerobics class uone muziki wenye mapigo ndio yenye kuleta action zinazo komply na step husika. naona unapaswa kujiunga darasa langu la physiotherapy aisee!
Mmmh, haya nakuja darasani

Babe gfsonwin come this way mpenzi. Kongosho hawezi kujua haya mambo. Yeye kazoea kumwimbia babu ODM anadhani na miye pia ndo ivo hata ivyo nimemwalika aje cku moja aniimbie tuone. Lol

Hivi kuonja kwa jirani imo??
Haisesabiwi ni cheating??
 
Back
Top Bottom