@>~~Natoa like ya 5000 (my 5000th like)~~<@

Acha fujo cacico . . . . lol. Mkuu Roulette fungia hii mtu ina hatari kuliko Dr. Ulimboka ama sivyo itashtukia iko msitu wa Pande tena hateswi huyu itakuwa ni ajali ya gari iliyoungua na watakuta fuvu tu . . . .

Na aisifuye mvua . . . . .
Mkuu, umechukia kuitwa rijali? msome vizuri cacico anaweza kua na hidden message for you hapo...
 
Last edited by a moderator:

Mkuu ananiharibia maana mimi nina ajenda ya "biashara na wewe". Hapa toka 2010 ulipotia mguu sijaelewa bado nianzie wapi afu yeye ananilipua mwenzie, japo ni sifa lakini sasa yeye alijuaje. Na wewe utanichukuliaje sasa Madame?

Watu bana wanapenda sana kuwaharibia wenzao . . . lol cacico weweeeeee
 
Last edited by a moderator:
Mungu nisaidie cha kuandika ili huyu mwadada mod anigongee ka-like.
Naingia kwenye maombi ili roho Mtakatifu anioneshe cha kuandia nakuapia Roullete lazima inigongee..
 
Acha fujo cacico . . . . lol. Mkuu Roulette fungia hii mtu ina hatari kuliko Dr. Ulimboka ama sivyo itashtukia iko msitu wa Pande tena hateswi huyu itakuwa ni ajali ya gari iliyoungua na watakuta fuvu tu . . . .

Na aisifuye mvua . . . . .
Superman my kaka habari zako nilizipata kwenye google, mvua iliyoninyea mie ni ya babu mkaguzi tu Asprin na jamvi loote lajua! huko pande we nipeleke tu, kabla hatujafika utashangaa malabuku zako zimehamia utosini, chezeiya hubby wangu weye??
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, umechukia kuitwa rijali? msome vizuri cacico anaweza kua na hidden message for you hapo...
jamani kati ya matumizi sahihi ya google ni kufahamu vitu na mambo mbalimbali, sa mi kugoogle superman tu, ah wacha pages zitiririke! basi nikapata majibu, lol
 
Mkuu ananiharibia maana mimi nina ajenda ya "biashara na wewe". Hapa toka 2010 ulipotia mguu sijaelewa bado nianzie wapi afu yeye ananilipua mwenzie, japo ni sifa lakini sasa yeye alijuaje. Na wewe utanichukuliaje sasa Madame?

Watu bana wanapenda sana kuwaharibia wenzao . . . lol cacico weweeeeee
sijakuharibia bana! sasa hivi kama ni nyota yako ya x-mas, kwa jinsi inavyooangaza, watakuja kama kumbikumbi kwenye taa, hata huyo Roulette ambaye unaona nimekuharibia utaona, atakuja mwenyewe! lol
 
Last edited by a moderator:
kwani akiwa anaongea na RR anakuwa kavaa 'heregeni' au kavaa nguo za sikukuu??

Huwezi mpata mod kama umevaa nguo za weekdays lazima ziwe za sikukuu.

sijakuharibia bana! sasa hivi kama ni nyota yako ya x-mas, kwa jinsi inavyooangaza, watakuja kama kumbikumbi kwenye taa, hata huyo Roulette ambaye unaona nimekuharibia utaona, atakuja mwenyewe! lol
 
Last edited by a moderator:
usitoe hiyo like, kuna post nzuri ya kukusisimsha naandaa hapa. Promise kama utavumilia.

For you, hata ikiwa a new thread nitasubiri. hua na-enjoy sana kukusoma. Ila fanya haraka maana Kongosho kaja kwa kas kweli, just saying his/her name nimeanza kucheka
 
Last edited by a moderator:
For you, hata ikiwa a new thread nitasubiri. hua na-enjoy sana kukusoma. Ila fanya haraka maana Kongosho kaja kwa kas kweli, just saying his/her name nimeanza kucheka

waooh! Ahsante sana mpendwa. Yaani hapa nina speed zaidi ya umeme. Post imeisha nataka niipulizie body spray ifike inanukia.
 
Last edited by a moderator:
waooh! Ahsante sana mpendwa. Yaani hapa nina speed zaidi ya umeme. Post imeisha nataka niipulizie body spray ifike inanukia.

Hahahaha, haya. ila naona judgement kaweka thread nzuri kweli yenye ubunifu tele, inakumbusha ile ya PetCash. bahati mbaya hajanitaja, angepata like!
 
Last edited by a moderator:
wee uko nje ya mashindano, vigezo na masharti vinazingatiwa.

Unataka kumhonga spray ili anukie??

Usije kuwa umeweka 'substance' wanayotumia 'votex' kubadili akili za watu wa muda ili wafanye watakayo inaitwa 'vovo. . . .' jina gumu sana.

Votex- reffer movie ya 'John English Reborn'

waooh! Ahsante sana mpendwa. Yaani hapa nina speed zaidi ya umeme. Post imeisha nataka niipulizie body spray ifike inanukia.
 
Hahahaha, haya. ila naona judgement kaweka thread nzuri kweli yenye ubunifu tele, inakumbusha ile ya PetCash. bahati mbaya hajanitaja, angepata like!

kicheko hicho ilitakiwa ukisindikizie na like roulette... Halafu hii scramble ya like si kwenye thread hii au vigezo vimebadilika?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom