@>~~Natoa like ya 5000 (my 5000th like)~~<@ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

@>~~Natoa like ya 5000 (my 5000th like)~~<@

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Roulette, Aug 14, 2012.

 1. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hi all

  Jamani humu JF mwenzenu naona raha kutoa like pale ninapo kutana na post ya kufurahisha. Naweza nisiunge mkono hoja ila kama imepangwa vizuri, au kama inafurahisha lazima natoa like. Sometimes nasindikiz
  a na reputation power kabisa.

  Kila mtu anaweza kutoa rep power. kufatana na combination ya vitu vingi, rep power unayo toa inaweza kua nzito au nyepesi. Mi nikikupa rep power zinaongezeka 5000 kwa mpigo. Atakae pata like yangu atapata na rep power sababu bila shaka post hiyo itastahili!


  Leo nimeona, nimesha gonga likes 4999, na nimeona sio vibaya nianzishe bahati nasibu ya kuona like ya 5000 itaenda kwa nani. Leo nitakua mgumu kidogo na criteria zangu za ku-like post zitakua juu kidogo.

  Basi naomba leo wana chit chat wenzangu mniridhishe na ka-post kazuri kazuri, kamependeza pendeza.

  Just for information, like ya 4000 nimeipokea toka kwa bi Neiwa kule jukwaa la siasa (tarehe 14). Asante mwaya.

  :A S 465:Asanteni:A S 465:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Haya mie hujawahi kunipa laiki hata moja naiomba basi hiyo....
   
 3. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Na ukinipatia hiyo like nitakusimulia hadithi nzuriiiiiiii ya ABUNUASI sijui kama unamkumbuka....
   
 4. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  binafsi hiyo like ya ki-freemanson siitaki,nasubiri ya 5001.like gani masharti yote hayo mwee?
   
 5. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Congrats Roulette! Wanakuja waungwana na hekima zao, najua lazma mshindi atapatikana tu! Jamani eeeeee mnaitwa huku, anatafutwa atayeikuna roho ya mdada Roulette
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nikipata hiko kimoja kutoka kwako itakuwa swaaaaaaaafi
   
 7. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  like ya kafala ya kazi gan?...
   
 8. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kumbe sijawahi kukupa like? pole sana. Basi ongeza juhudi kidogo, hizo hadithi za Abunuass utanisumulia wapi? mbona hadithi ni za bed time? usilete utundu...
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  Nigongee na mie like basi....

  Rep power ni nyie mods tu ndo mnaweza kutoa?

  Mwisho kabisa napenda kutuma salamu kwa mume wangu Asprin na wake wanzangu cacico na Yummy, nimewamiss
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  we nawe mpana!!! gubu la kumkosa charminglady, lol!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  tumekumisijeeeeeeee na sie?? lol, mwahhhhhh! zamu yako leo ee??
   
 12. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Jaribu na wewe mpenzi, tena waite na ndugu zangu kwa mtindo wa mention, mi kwangu imegoma (au nimekosea?)
   
 13. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hii pun haijakaa vizuri...
   
 14. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ha,ha,ha.....mie nataka paja tu,like ya kazi gan? charminglady nimeshaanza kummili huna habari,mzima lakini babyface cacico
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kila mtu anaweza kutoa rep power. kufatana na date ulo jiunga, post zako, likes zako na mengine mengi, rep power unayo toa inaweza kua nzito au nyepesi. Mi nikikupa rep power zinaongezeka 5000 kwa mpigo. Atakae pata like yangu atapata na rep power sababu bila shaka post hiyo itastahili!
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  Zamu yangu leo mke mwenza, hapa nishajiandaa namsubiri hubby aje.....   
 17. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #17
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  c umesema imebaki like 1, ifike 5000......
  i wish iwe mm
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  I see sikuwa nalijua hili, asante kwa kunijuza....


   
 19. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #19
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  the way you said it my friend... imekaa kihuni. Ngoja shem Kaizer akuskie!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  crudii tena...kumbe unajua mambo ya mjini.....
   
Loading...