@>~~Natoa like ya 5000 (my 5000th like)~~<@

@>~~Natoa like ya 5000 (my 5000th like)~~<@

Mkuu @Aspirin umeona eeh . . . . halafu pesa yako mbona umma wote wa JF ulishatangaziwa kuwa pesa yako anayo @Maxence au Mike McKee. Mbona The Boss na Lizzy walishachukua. Kama vipi waambie wahusika pesa yako iwe converted uwe Premium Member . . . lol.

Afu mkuu taratibu mimi nimeambiwa ni rijali . . .
isifiwe google na kuheshimiwa milele! bila google ningejuaje kama we rijali wallah! heshima yako mkuu!
 
Sikia Roulette popote pale ulipo. Siitaki Like yako wala Reputation power. Mara ya mwisho Like yako ilinikwaza nikatenda dhambi. Nani anataka Like yako kipindi hiki cha mfungo ambapo haturuhusiwi kufanya mapenzi na sabuni?

Ukinipa LIKE yako nakuweka kwenye ignore list yangu. Jaribu uone............. Utafiti umeonyesha watu wote walio kwenye ignore list ya ODM wana roho mbaya kama kiatu cha Mugabe kiasi kwamba siku ya Hukumu, malaika wataomba likizo ikifika zamu yake kuhukumiwa.

Baada ya kusema hayo, nakukaribisha tufuturu na Mama Abadallah leo jioni nyumbani kwangu Khartoum.

Wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA, leo mna kazi ya kumhudumia msimamizi wenu Kongosho. Nimemwacha anatapikia mdomo wa chini. Sijui alikula nini jana Yailahi toba??

Kwaherini nyote.

Hahahahaha, kwa roho yangu ya uharibifu naweza nikugongee like just kuharibu swaum yako. hahahaha
 
Roulette asante sana na kweli naamini unapendwa sio kidogo maana kila mmoja anaitamani hiyo like yako ya 5000
Sio kwamba unapenda tuu kuzitoa ila nmaamini wapo watu ambao wanakufurahisha na post zao na ambao wanajua wanaandika nini kwa wakati gani na kwa nini
Uwe na moyo huo wa kupenda na kupendwa maana ndio nguzo kuu itakufanya uendelee kuyaona maisha mazuri kwa wakati wote huku tabasam lisiishe usoni mwako hata katikati ya majaribu na huzuni maana naamini yuko mmoja tuu ayashindaye yote hayo yaani Allah
Amina, amina, amina! Asante sana ndugu yangu, kweli upendo unashinda yote. Asante sana!
 
I would've be more reative if I knew what turns you on...umesema kama posti ikikufurahisha,vitu gani vinakufurahisha?kama uko single mi nasilim!lol!

mmmhhh... Kaizer, nani yuko mlangoni? mwambieni na huyu asije kwenye sherehe (But anaruhusiwa kuja kuniona kesho ofisini)
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha, kwa roho yangu ya uharibifu naweza nikugongee like just kuharibu swaum yako. hahahaha

OMG! God Have Mercy On Me! God Forbid! Nionee huruma Roulette, mi ni mtoto wa mwanamke mwenzio. Hiyo like mpe.......(shiiii watu wasijue, ntakuambia kwa PM) Ili aRIP as sun as posibo. TAHADHARI: Like ya 5000 ya Roulette INAUA!
 
Last edited by a moderator:
wee Roulette, shindano lilisha jana usiku, leo hapa tunasubiri matokeo tu
Hakuna kuchakachua, na karibia nateua msimazi wa kura zangu.

(Cheka basi:redface:, yaani hata futari hujanialika na Lyke ya 5000 usinipe??)
 
Last edited by a moderator:
Kuna forum fulani nilitembelea nikakuta mtu ana avatar kama yako, wacha nianze kumpigia kelele nikidhani ni wewe: ODM, ODM, niko pande hii! Kumbe ni mwanamke, tena kibibi. hahahaha
Salama lakini?

Roullete kumbe na wewe nikiruka njia kwenye hizo forums zingene!.. Jf ni kila kitu bana! usirudie tena..
 
Wazima wote, tunamshukuru Mungu. Unaendeleaje dada? Hii like tumpe nani hivi?

Nipatie mimi bana kwanzia jana niko hapa hapa sijabanduka.. halafu angalia rep yangu ilivyokuwa ndogo nione huruma.
Mamndenyi hebu mwambie wakugongewa ni mimi bhana..
 
Roullete kumbe na wewe nikiruka njia kwenye hizo forums zingene!.. Jf ni kila kitu bana! usirudie tena..

Sio kuruka njia bwana, hata content ya JF itatoka/itaenda wapi ikiwa tunajifungia sisi kwa sisi? lazima tutembee na huko, tuwaelimishe, watuelimishe. It is a professional forum hata hivo, ambapo ninajipatia maujuzi yanayo nisaidia kazini kwangu, so all is well.
 
And the winners are: Kongosho, cacico and, Erickb52
Kila mmoja wao anajua kwanini alichaguliwa yeye. Asanteni wote, nitaendelea kutoa likes kwa moyo mkunjufu kabisa ila ile ya 5000 inaenda kwa hawa watatu kwa mpigo, ikisindikizwa na Reputation power ya nguvu.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mie nitapenda zaidi kama litafanikiwa kuchaguliwa kuweza jibiwa. Jibu lake ni muhimu kwangu. Shukrani kwa link Roulette. Hio like mbona kama unabania jamani? nimeona post nyingi humu zilistahili hio Like hasa hii post inayo hoji hapa. hahaha

Like imesha tolewa mpenzi, but you will get the 6000, inshallah.
 
Hureeeee, asante Roulette!

Nyie washindi tukutaneni basi siku ya Idd japo tumtoe Mod dinner.

Ngoja nikave nguo ya sikukuu.
And the winners are: Kongosho, cacico and, Erickb52
Kila mmoja wao anajua kwanini alichaguliwa yeye. Asanteni wote, nitaendelea kutoa likes kwa moyo mkunjufu kabisa ila ile ya 5000 inaenda kwa hawa watatu kwa mpigo, ikisindikizwa na Reputation power ya nguvu.
 
hii sledi kwa nini sijuiona on time?
Well well well Roulette niaje we na Paw mshatemana? You know what,ukinipa 'like' nitakupeleka kwetu buhaya ufundishwe 'kuata ebitoke' na kuimbisha mwanaume mpaka asahau kwao.
 
rushwaaaaaaaaaaaaaaaa:
1 cacico:kuna ka mchezo kafundishwa na Erotica na Kaunga,kaahidi kukufundisha na wewe Roulette.
2 Erickb52: kakuhonga hela
3 Kongosho: tatizo lako Roulette una tabia ya kutazamia mitihani. Hapo CBE kongosho kakuruhusu umtazamie kwenye finals.
 
Last edited by a moderator:
hii sledi kwa nini sijuiona on time?
Well well well Roulette niaje we na Paw mshatemana? You know what,ukinipa 'like' nitakupeleka kwetu buhaya ufundishwe 'kuata ebitoke' na kuimbisha mwanaume mpaka asahau kwao.

Hi Shang (this is how I call you). Mimi na Paw? toka lini jamani? Sasa like ya 5000 imesha tolewa wewe ulikua wapi? tena niliku-tag kabisa ili thread isipite but hola, sijakuona. Mzima lakini?
 
Back
Top Bottom