@>~~Natoa like ya 5000 (my 5000th like)~~<@

Leo lazima nifanye 'Like Rape' kwako mtoa mada.

you have been warned, hakuna kukata rufaa maana umenishawishi hadharani.

Hii ni sawa na mfungwa katoka jela afu unampitia na nit dress.
 
Jaribu na wewe mpenzi, tena waite na ndugu zangu kwa mtindo wa mention, mi kwangu imegoma (au nimekosea?)
BADILI TABIA mke mwenzangu ye kajiwaia mapemaaaa, hubby Asprin kampeleka Yummy kufanya shaving kwa Boflo! Erickb52 katahiri mtoto wake blonde aliyezaa na Catherine bila Mentor kujua! zomba anaugulia bila mkewe mtarajiwa Mwali maana dr.ulimboka kesho anaonge na waandishi. Kaizer na gfsonwin wapo kwa Kimbweka na Kiranja Mkuu wanafundwa maana wamekutana wote magogo tu! Excellent na Ronn M wao wamekuwa mfano bora na ndio kisa cha Eiyer kuwa bikra mpaka leo, bila kujua Kaunga anaweza kumkimbia anytime na kwenda kushughulikiwa na wanaume marijali kama wakina Superman na gambachovu, mmhhh Smile naye nadhani bikra ishakwanguliwa mudaaaa ndio maana cku hizi anadipu tu humu, chezeiya jf weye??. kamani kumiss mtu ngoja niwe wazi, nammiss sana sweetlady, lol, alinikaribisha vizuri jamvini chini ya Kongosho asali ya ODM!

ila Roulette kuna mtu anaitwa Invisible namuogopa tu, Paw na Buchanan hawanipi homa sana! sijui ni kwann, ila imetokea tu, haya kuna x wangu aitwa Young_Master ODM kambatiza bingwa wa upekuzi, lol nahofia kusutwa hapa! dadangu Zinduna na Chauro nawakosa sana mara kwa mara jamvini jamani muwe mnakuja ebo!

kesi ya CUTE na Ruhazwe JR acha tu maana hata Mike McKee hawezi itatua! nimekupa umbeya leo sana wacha leo nikajifiche kwenye kasri la Bishanga na The secretary naogopa kuishia mabwepande, lol!
 
Last edited by a moderator:

kesi ya CUTE na Ruhazwe JR acha tu maana hata @Mcckee hawezi itatua! nimekupa umbeya leo sana wacha leo nikajifiche kwenye kasri la Bishanga na The secretary naogopa kuishia mabwepande, lol!

Asante sana mpenzi, sasa the gamble is on rasmi!
 
Last edited by a moderator:
Leo lazima nifanye 'Like Rape' kwako mtoa mada.

you have been warned, hakuna kukata rufaa maana umenishawishi hadharani.

Hii ni sawa na mfungwa katoka jela afu unampitia na nit dress.

Hahahaha, hiyo comparison imenichekeshaje!
 
:biggrin1: kuna mtu kasoma post yako akaahidi kua ukinipa like atanipa 2million so pls nipe basi afu tutagawana nusu kwa nusu :biggrin1:
 
Kumbe sijawahi kukupa like? pole sana. Basi ongeza juhudi kidogo, hizo hadithi za Abunuass utanisumulia wapi? mbona hadithi ni za bed time? usilete utundu...

Mtoto weye mbaya sana yaani hata hadithi za Abunuasi hutaki..!! Basi nitakusimulia za Alf Lela Ulela Tena wakati unatafuta usingizi ukikataa na hizo na mimi Like yako naisusa na siku ukinipa naandamana.....
 
forums>> business forum >>> kuku mmoja akuzalishie shilingi milioni moja,,,,,,,,,,,,labda utaipenda
 
Hapa ni 'red handed' nimekufurahisha, tena umecheka kwa hiayari ya moyo wako na swaumu yote hii kali?

Na mshindi wa like hii ni Konnie! Hakuna cha auditor kuja hapa labda shemeji yangu kwa King'sti tu.

Hahahaha, hiyo comparison imenichekeshaje!
 
BADILI TABIA mke mwenzangu ye kajiwaia mapemaaaa, hubby Asprin kampeleka Yummy kufanya shaving kwa Boflo! Erickb52 katahiri mtoto wake blonde aliyezaa na Catherine bila Mentor kujua! zomba anaugulia bila mkewe mtarajiwa Mwali maana dr.ulimboka kesho anaonge na waandishi. Kaizer na gfsonwin wapo kwa Kimbweka na Kiranja Mkuu wanafundwa maana wamekutana wote magogo tu! Excellent na Ronn M wao wamekuwa mfano bora na ndio kisa cha Eiyer kuwa bikra mpaka leo, bila kujua Kaunga anaweza kumkimbia anytime na kwenda kushughulikiwa na wanaume marijali kama wakina Superman na gambachovu, mmhhh Smile naye nadhani bikra ishakwanguliwa mudaaaa ndio maana cku hizi anadipu tu humu, chezeiya jf weye??. kamani kumiss mtu ngoja niwe wazi, nammiss sana sweetlady, lol, alinikaribisha vizuri jamvini chini ya Kongosho asali ya ODM!

ila Roulette kuna mtu anaitwa Invisible namuogopa tu, Paw na Buchanan hawanipi homa sana! sijui ni kwann, ila imetokea tu, haya kuna x wangu aitwa Young_Master ODM kambatiza bingwa wa upekuzi, lol nahofia kusutwa hapa! dadangu Zinduna na Chauro nawakosa sana mara kwa mara jamvini jamani muwe mnakuja ebo!

kesi ya CUTE na Ruhazwe JR acha tu maana hata Mike McKee hawezi itatua! nimekupa umbeya leo sana wacha leo nikajifiche kwenye kasri la Bishanga na The secretary naogopa kuishia mabwepande, lol!

Mbona dunia yote itakuwa yangu. Mwali kusema kweli mie namzimia sana lakini sijui kwanini cacico kasema haya kuna hint yoyote kutoka kwa Mwali? maana mimi domo zege ikifikia kwa Mwali. Halafu sijui kama Mwali atakubali kuishi shamba kama mke wa tatu wa kipekee.
 
Last edited by a moderator:
nina siri ya kumtoa Mwali pangoni.

Sema na mie vizuri tu.

Kuna kitu anapenda huyo! !

Mbona dunia yote itakuwa yangu. Mwali kusema kweli mie namzimia sana lakini sijui kwanini cacico kasema haya kuna hint yoyote kutoka kwa Mwali? maana mimi domo zege ikifikia kwa Mwali. Halafu sijui kama Mwali atakubali kuishi shamba kama mke wa tatu wa kipekee.
 
Last edited by a moderator:
Hapa ni 'red handed' nimekufurahisha, tena umecheka kwa hiayari ya moyo wako na swaumu yote hii kali?

Na mshindi wa like hii ni Konnie! Hakuna cha auditor kuja hapa labda shemeji yangu kwa King'sti tu.

Kweli nimecheka ila sijasisimka kiivo. Si unajua like ya 5000 si mchezo, only happens once in eeerrr... 5000 times!
 
Bado hunipi tu,basi ukiniona tena hapa kama hujanipa hiyo LIKE basi nipige Bani....hahahahaaaaa
Hata kama sio like, kaa basi na mimi tuone ubunifu wa wana chit chat leo!

Mbona dunia yote itakuwa yangu. Mwali kusema kweli mie namzimia sana lakini sijui kwanini cacico kasema haya kuna hint yoyote kutoka kwa Mwali? maana mimi domo zege ikifikia kwa Mwali. Halafu sijui kama Mwali atakubali kuishi shamba kama mke wa tatu wa kipekee.

Kumbe??? Sasa nimekua na shaka sana kuhusu ule mjadala. Kumbe kulikua na bias.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom