Natoa huduma za Tour Guide Zanzibar

Natoa huduma za Tour Guide Zanzibar

Hizo namba ziloandikwa juu ya magamba ya hao kobe ni miaka ya kila kobe kwa apo kobe mkubwa nilomuona ana miaka 201
 
Karibuni tufurahie pamoja

Quad driving plus good adventure throughout Zanzibar Island
 

Attachments

  • Screenshot_20251110-132957_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20251110-132957_WhatsApp.jpg
    114.9 KB · Views: 16
  • Screenshot_20251110-133429_Chrome.jpg
    Screenshot_20251110-133429_Chrome.jpg
    98.5 KB · Views: 19
Ndugu Zangu karibuni kwa anaehitaji kuja kutembea Zanzibar ata mkija kikazi m nipo ndugu yenu nitawahudumia kiungwana kabisaa

Zanzibar hakuna Matata
 
Karibu uje kujipatia chakula kitamu chenye mapishi ya kizenji yalojaa spices tofauti
 

Attachments

  • 20251115_133427.jpg
    20251115_133427.jpg
    828.3 KB · Views: 13
  • 20251115_133425.jpg
    20251115_133425.jpg
    837.9 KB · Views: 14
Kwa wale wanaotaka kuja Zanzibar kipindi hiki nakushauri uwe na kitambulisho cha kazi,barua ya mwenyekiti au Kitambulisho cha NIDA
Kitambulisho cha kura usikitegemee sanaa huo ni ushauri kwa wanaotaka kuja Zanzibar
 
Karibuni ndugu Zangu
Anotaka kuja kupumzika Zanzibar mnakaribishwa sanaaa

Zanzibar hakuna Matata
Zanzibar ni njema atakae aje
 
December ni mwezi wa mapumziko kwa watu wengi kwaio ndugu Zangu anotaka kuja kupumzika Zanzibar plz Naomba anitafute nitamuandalia trip nzuri tu
 
Kwa anaetaka kuja kufurahi na familia yake basi hapa ndo sehemu sahihi

Karibu
 

Attachments

  • 20251207_171945.jpg
    20251207_171945.jpg
    566.6 KB · Views: 13
  • 20251207_172003.jpg
    20251207_172003.jpg
    691.6 KB · Views: 16
  • 20251207_172038.jpg
    20251207_172038.jpg
    408.4 KB · Views: 11
  • 20251207_172848.jpg
    20251207_172848.jpg
    593.7 KB · Views: 11
  • 20251207_172856.jpg
    20251207_172856.jpg
    393.2 KB · Views: 11
  • 20251207_172856.jpg
    20251207_172856.jpg
    398.6 KB · Views: 13
Karibuni ndugu Zangu
 

Attachments

  • 20251226_115745.jpg
    20251226_115745.jpg
    675.6 KB · Views: 11
  • 20251226_123511.jpg
    20251226_123511.jpg
    922.4 KB · Views: 12
  • 20251226_123518.jpg
    20251226_123518.jpg
    971.4 KB · Views: 12
Kwa wale wanokuja kutembea na watoto michezo ya watoto ipo mingi sanaa
 
Tupo wazi ndugu zangu

Karibuni
 
Karibuniiï
 

Attachments

  • 20251207_173032.mp4
    34.6 MB
Karibuni ndugu Zangu

Mimi ni mtu mwema tu wala usiwe na mashaka nami

Zanzibar ni njema atakae aje
 
Tupo wazi ndugu Zangu
 
Back
Top Bottom