Sema neno nikupeleke☺️Hapana bu
Ohh hapo nimekupata mkuu!Ila kwa sisi Madereva sio rahisi kuranda humo mahotelini na kupiga picha uzitakazo kwaio sehemu utakazopata ndo izo izo
Ulienda?Nakuja PM kijana. Mwezi wa 10 nataka kuja Zanzibar.
Nitatokea Dar, nitakaa nights 2, na days 3 nitataka kuzunguka sana hapo Zanzibar, ila budget isiwe kubwa.
Kwa manufaa ya wengine utaweza nipangia route na estimated budget?
Au nije PM?
Wewe ni mzenj au mbara?Karibuni Zanzibar muje kupumzisha Akili na Mwili
Zanzibar ni njema atakae aje
Jibu swali wewe ni mzenj au mbara? Utoaji wako huduma tunataka kujua tutahudumiwa na mtu wa aina gani. Ndio utaratibu ulivyo popote Duniani lazima ujitambulishe jinsia yako kama ni Ke Me au Shoga, Umri wako, Taifa, Kabila/Asili yako, Height yako, Rangi yako nk...Ndugu mimi natoa huduma mambo ya mzenji au mbara ya nini sasa?
Karibuni Zenji
Nitajie kampuni moja tu yenye utaratibu huo duniani labda ni mgeni wa duniaJibu swali wewe ni mzenj au mbara? Utoaji wako huduma tunataka kujua tutahudumiwa na mtu wa aina gani. Ndio utaratibu ulivyo popote Duniani lazima ujitambulishe jinsia yako kama ni Ke Me au Shoga, Umri wako, Taifa, Kabila/Asili yako, Height yako, Rangi yako nk...
WEWE NI TAPELI UNAJULIKANANitajie kampuni moja tu yenye utaratibu huo duniani labda ni mgeni wa dunia