Natoa huduma za Tour Guide Zanzibar

Natoa huduma za Tour Guide Zanzibar

Karibuni ndugu zangu kwa wale ambao watahitaji Apartment pia nitawatafutia

Zanzibar ni njema atakae aje
Lengo langu nikae siku 8 huko na tupo wawili je niandae shingapi kuanzia gharama za hotel na chakula?
 
Lengo langu nikae siku 8 huko na tupo wawili je niandae shingapi kuanzia gharama za hotel na chakula?
Apo inategemea ww untaka kutembea sehemu zipi na ulale hoteli ya hadhi ipi ni PM tuongee vizuri ndugu
 
Karibuni december hii tumalizie likizo yetu kwa furaha kabisaa

Karibuni Zanzibar
 
Wadau privacy matters wala msihofu kuhusu hili

Nina marafiki from jf walokuja Zanzibar tukaenjoy pamoja

Karibuni Zanzibar usisite kunitafuta ukija Zanzibar
 
Karibuni ndugu Zangu mje kufurahia Mandhari ya Zanzibar

Zanzibar ni njema atakae aje
 
Ndugu siku za kuenjoy hizi hapa ijumaa mpka jumatatu hamna kazi anotaka kuja kutembea Zanzibar karibu
 
Do you have interest in these tours?


Horse riding
Swimming with turtles and dolphins
Snorkeling
And water sport

If yes PM and lets have a good day with your family
 
Ndugu Zanguni karibuni Zanzibar

Ukija kutembea Zanzibar utajionea mengi ambayo hujawahi kuyaona
Karibuni mje kujionea Mji wa kitalii

Zanzibar ni Njema atakae aje
 
Back
Top Bottom