Natoa huduma za Tour Guide Zanzibar

Natoa huduma za Tour Guide Zanzibar

Kwa wale wanaotaka kuja kutembea Zanzibar ila wanaona malazi ni ghali basi zipo lodge za 40k na 25k ila ni nje ya mji ila sio mbali na town

Karibuni
 
Mtu akitaka kuja na mwenzi wake siku 2 inaeza cost avarage bei gan?
 
Karibuni jamani

Tusapotini vijana
 
Karibuniii
 

Attachments

  • Screenshot_20260606-071011_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20260606-071011_WhatsApp.jpg
    259.6 KB · Views: 13
Karibuniii

Siku 3 mpaka 4 unaweza ukatembea Zanzibar yoote na ukaenjoy

You are Welcome
 
You are welcome for vacation/vacancy

Dereva muaminifu nipo hutojutia vacation yako

Usiri ni kipaumbele kwenye kazi yangu

Karibuni
 
Karibuni ndugu zangu

Hii ni hoteli mpya kabisaaaa njoo ufurahie vacation yako
 

Attachments

  • Screenshot_20260615-133039_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20260615-133039_WhatsApp.jpg
    127.6 KB · Views: 11
  • Screenshot_20260615-133045_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20260615-133045_WhatsApp.jpg
    109.6 KB · Views: 15
Karibuni ndugu zangu

Tusapotini Vijana
 
Kwa wale ambao wanakua na uhitaji wa Nyumba hata fumba town utapata

Tuwasiliane kwa namba hii
+255 710 198 452
 
Jamani karibuni mnipe kazi kijana wenu
 
Kwa upande wa Malazi guest nzuri kwa huku bei yake ni 35k

Usafiri wa kuja Zanzibar kwa boat ni 30k kwa economy class na 65k kwa Business class na 150k kwa VIP class

Kwa usafiri wa ndege kutoka dar kuja Zenji ni 150k

Ukitaka hotel bei ya chini ni 50k inshort bei za malazi hazitofautiani sana na huko bara

Kwa upande wa chakula inategemea na ww ulaji wako ila kwa Zanzibar vyakula ni bei kidogo kulinganisha na bara bcz vyakula ni imported from Bara

Mfano kwa safari ya Nungwi from town usually ni 80k pia maelewano yapo

Ukichanganua hizo gharama hapo utaweza kujua kua unaweza kujipanga kwa kiasi gani na safari ya Zanzibar
Bado bei ni hizi hizi?
 
Nawasalimu wakubwa na wadogo zangu

Mimi ni kijana wa kitanzania Mzalendo ambae napenda kujishughulisha na kupata rizki ya halali

Kwa Ambae anatamani kuja Kutembea Zanzibar ila anapata shida mbalimbali naomba wasiliana nami utatembezwa Zanzibar kwa bei nafuu sana mm ni mwenyeji wa Zanzibar na Bara pia nimeshakaa kwaio hua nawaona watu wanavohangaika wakitaka kuja Kutembea Zanzibar

Gari zipo mbili zenye uwezo wa kubeba watu 8 kwaio hata kama una familia hakuna shida yoyote mtatembezwa sehemu nyingi tu

Pia najua Jamii forum ni sehemu ya privacy kwaio hilo nalo pia linazingatiwa sana

Ni mtu makini na muaminifu sana hata kama utaleta familia ww uendelee na kazi zako hakika familia itafurahi tu


Kwa Ambae anahitaji mawasiliano PM nitampa
Una kitambulisho cha Mzanzibar Mkaazi?
 
Back
Top Bottom