Kuna watu hawataniwi, shaurilo
Na log off kuchezea Miili.
Na log off kuchezea Miili.
I thought were having fun....
mmh!! bibie mbona umekuja na moto namna hiyo.embu pumua kidogo.mweee...
Naamini arushaone hayupo leo....Ahh wapi!!
aaah mimi huyo.asante The secretary .tupia ya kwako basi.umependeza mwaya
Sijampata wa kuniwowa.....upo tayari.....?
wapo wengi hapa Preta na mimi ni mmoja wao.
ooh sikufahamu mkuu kumbe upo ktk harakati.nashusha bendera.
Yaani nipo tayari hata sasa.... Natangaza nia ya dhati kabisa....
Lakini unatakiwa uongee na my mtu chake kwanza........mkali ujue.......