Nathan Mpangala anatutisha?

Eti ccm wantudanganya wanaotunga ni wachina na wazungu wkt ni wao ndo wanatanguliza matumbo yao kuanzia bungeni mpaka kwenye baraza la mawaziri
 
No uhalisia. ...unufaika wetu kwa madini ni mdogo sana. Ni eneo ambalo linamchango mdogo sana
 
Ya kweli haya.,Bara Africa tunamalizana wenyewe kwa mali alizotujaalia Muumba wetu.
Inaitajika hekima ambayo imesharudi tena Africa ndiyo maana wazungu wanachanganyikiwa! Believe me!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…