Nathan Mpangala anatutisha?

b8704676e9f913c5483638a9e78819e0.jpg

Cc:Isis
 
VAT kwenye sekta ya utalii inatuingizia trilioni nne kwa mwaka, pesa ambayo hatujawahi kuipata kwenye madini kwa miaka kumi.. So hakuna haja ya kuhofia.
Hao wawekezaji uchwara wa madini 'wakuje waende'. Kwa sasa hatuwabembelezi.
 
View attachment 521787 View attachment 521787
Heri ya mimi ninayeamini kwenye ukweli,kuliko ujidanganyae nafsi wakati twaangamia sote.
Mimi na kizazi changu na watu wangu hatueezi kuangamia hata siku mmoja, kwa sababu imani yetu tumeiweka katika kushinda tu! Hatuna muda wa kulalamika kama wewe Ranks na kizazi chako na watu wako, uvivu wa asili umewatawala milele! Umefungwa na fikra ya ubishi! Huwezi ku create kitu chochote maana mind zenu zimefungwa na minyonyoro na zimepata cobwebs! Mitumbo imejaa minyoo! RIP, IMBECILES! Ranks!
 
Kwa taarifa yako maisha yangu yako tambarare na nimezaliwa familia bora iliyojaaliwa neema.,ninachokililia ni Taifa langu kwa faida ya kizazi kijacho.
Kumbuka.....
images-131.png
 
Back
Top Bottom