Nateswa na dawa za kuona wachawi hasa usiku

Hivi kwanini binadamu wengine mnapenda chokochoko?
Hivi ukiheshimu imani ya mwenzio utapungukiwa kitu gani?
Sometimes natamani kama binadamu wote tungekua mapagani tu labda machafuko na vita vya kidini visivyo na nyuma wala mbele visingekuwepo.

upagan ni njia bora kabisa ya kujiepusha na migogoro ya kidini na ulevi wa dini
 
jamani
kama kuna anayejua dawa za kuweza kuniondolea kuona wachawi hasa usiku
anisaidie nateseka sana,maana kila siku naweza kuona wachawi 3-5 na mashart yake nikuwa nisiwasemeshe wala nisiwafanye chochote, mwenye kujua anipm tuwasliane zaidi.

Nawewe nchawi njomba!
 
hv icho ni kipaji chako au ulichanjia? Anyway nakupa pole
 
Bila shaka na wewe ulilishwa vitu ambavyo sivyo na watu wako wa karibu
vinginevyo na wewe huko uendako utakuwa kama hao hao; shauri zako lakini.
 
Dah, mkuu! Tangazo lako limekaa vizuri! Najua wengi umewapata kwa kutumia sera yako ya kuwa na dawa za kuona wachawi! Keep it up mkuu!
jamani
kama kuna anayejua dawa za kuweza kuniondolea kuona wachawi hasa usiku
anisaidie nateseka sana,maana kila siku naweza kuona wachawi 3-5 na mashart yake nikuwa nisiwasemeshe wala nisiwafanye chochote, mwenye kujua anipm tuwasliane zaidi.
 
hivi ule msemo sijui nini nini vilee…wanajua kwa vilemba, hapa kwenye suala la jamaa unafanya kazi? :rolleyez:
 
jamani
kama kuna anayejua dawa za kuweza kuniondolea kuona wachawi hasa usiku
anisaidie nateseka sana,maana kila siku naweza kuona wachawi 3-5 na mashart yake nikuwa nisiwasemeshe wala nisiwafanye chochote, mwenye kujua anipm tuwasliane zaidi.

Unaswal msikiti gani Mkuu?
 
Mchawi mkubwa wewe!! Ulipoenda kutafuta hiyo midawa ya kishetani hukujua kuwa iko siku itakugeuka?tangu lini shetani akawa na urafiki wa kudumu na binaadamu?? Umia mwenyewe,uliyataka mwenyewe,uliishawahi kusikia kuhusu Yesu kristo kabla ya kuamua kumiliki majini hayo?

msaidie mwenzio km una solution, km huna ni bora ukae kimya sababu huwezi jua yupo kwenye hali gani na hilo ni teso kwake kwa kiwango kipi, na ndio maana kuna msamaha; maana yake ni kwamba kuna makosa tunayafanya( km aliyapata kwa waganga) na baada ya kugundua tunataka kurestore hali zetu za awali.
 
hebu wapige picha utuletee hapa ili tukuamini ila chukua tahadhari wasikuone. ha ha ha ha
 
usijerudi tena kwa aliyekupa hiyo dawa manake lazma naye atakuwa ni mchawi. Jibu sahihi na la uhakika ni YESU KRISTO.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom