Nateswa na dawa za kuona wachawi hasa usiku

jamani
kama kuna anayejua dawa za kuweza kuniondolea kuona wachawi hasa usiku
anisaidie nateseka sana,maana kila siku naweza kuona wachawi 3-5 na mashart yake nikuwa nisiwasemeshe wala nisiwafanye chochote, mwenye kujua anipm tuwasliane zaidi.

Kama unadai masharti yake ni kutowasemesha wala kuwafanya chochote it means ulipewa dawa ya kuwaona na mtu flani na akakupa "masharti".So simple,rudi kwa huyohuyo aliyekupa.Au ameshakufa?
 
Pole sana ndugu yangu , tatizo la kuona 'vitu ambavyo haviko' ni dalili mojawapo ya ugonjwa wa akili. Nina kushauri uende hosipitali yoyote ya mkoa ambako kuna kitengo cha wagonwa wa akili ili wakupe msaada .

I salute you mkuu. Tena mwambie kabisa kwamba hii hali ya "hallucinations" ni dalili ya matumizi ya bange! Kama anaona usiku huenda huwa inavutwa jioni jioni au usiku. Poleni mtakaokwazika.
 
Sharti la kutowasemesha umepewa na nani?

jamani
kama kuna anayejua dawa za kuweza kuniondolea kuona wachawi hasa usiku
anisaidie nateseka sana,maana kila siku naweza kuona wachawi 3-5 na mashart yake nikuwa nisiwasemeshe wala nisiwafanye chochote, mwenye kujua anipm tuwasliane zaidi.
 
jamani
kama kuna anayejua dawa za kuweza kuniondolea kuona wachawi hasa usiku
anisaidie nateseka sana,maana kila siku naweza kuona wachawi 3-5 na mashart yake nikuwa nisiwasemeshe wala nisiwafanye chochote, mwenye kujua anipm tuwasliane zaidi.
Kama unawaona kuna shida gani wakati uliomba mwenyewe?
 
Ndio maana ninapo mwomba Mungu humwambia aniepushie mbali hayo mavitu ambayo siwezi kuyahili, sitaki kuona jini wala shetani.
 
du iyo kali pole mkuuuu unawaona wap sasa wanakuja kwakko au njian tukusaidie
 
Back
Top Bottom