Nateswa na dawa za kuona wachawi hasa usiku

vipi mimi uliniona jana???? nilikua nimevaaje??

jamani
kama kuna anayejua dawa za kuweza kuniondolea kuona wachawi hasa usiku
anisaidie nateseka sana,maana kila siku naweza kuona wachawi 3-5 na mashart yake nikuwa nisiwasemeshe wala nisiwafanye chochote, mwenye kujua anipm tuwasliane zaidi.
 
hawawezi kunishtukia bado nazingatia masharti.

Mbona husemi chanzo kilicho sababisha uwaone? au umeamua tu kuwapotezea watu muda kujadili hizo ndoto zako? pia kwa nini waje kwako kila siku au na wewe ni mwenzao?

Ningekua mimi wangenikoma! yani ningewatandika bakora sidhani kama wangerudi tena
 
Hata mimi naweza kujibu!!!! Mtume Mohamad hatoi mapepo kisha yakatoka yakaendelea kutesa wengine.....Yeye huyaua kabisa...............................

Kwani huyo mtume muhammad yupo hadi awe na uwezo wa kuyauua mapepo, ushauri wa kuanzia hospital unakuhusu sana...
 
jamani
kama kuna anayejua dawa za kuweza kuniondolea kuona wachawi hasa usiku
anisaidie nateseka sana,maana kila siku naweza kuona wachawi 3-5 na mashart yake nikuwa nisiwasemeshe wala nisiwafanye chochote, mwenye kujua anipm tuwasliane zaidi.

Acha kulia lia kama juha, vunja mashart yao, ukimuona mchawi ukamtambua kuwa ni fulani ambaye kwa hali ya kawaida huwa anajifanya mtu mwema sana, chukua kiboko charaza bakora, msemeshe aache ujinga wake. Nadhani ukifanya hivyo watakuogopa na dawa ita-expire.
 
Unajua huyu Chibolo anasumbua watu dawa anayo mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
epuka kuwa sensitive sana katika imagination,soma vitabu mbalimbali vyenye habari za kufurahisha na mambo ya uhalisia,fanya mazoezi kila siku jioni.Na mwisho unatakiwa uwe umesimama kweli kiimani kwa kumuamini Mungu kwelikweli. Unatakiwa uwe hivi; Stand tall physically,stand tall mentally and stand tall spiritually.
 
jamani
kama kuna anayejua dawa za kuweza kuniondolea kuona wachawi hasa usiku
anisaidie nateseka sana,maana kila siku naweza kuona wachawi 3-5 na mashart yake nikuwa nisiwasemeshe wala nisiwafanye chochote, mwenye kujua anipm tuwasliane zaidi.
Thank god!
I have been looking for that things for long long time,e bana nilengeshe kwa huyo aliyekupa hiyo dawa.Maana mm naitafuta sana lol!
 
Tanguu lini pepo akamtoa pepo?

Hivi kwanini binadamu wengine mnapenda chokochoko?
Hivi ukiheshimu imani ya mwenzio utapungukiwa kitu gani?
Sometimes natamani kama binadamu wote tungekua mapagani tu labda machafuko na vita vya kidini visivyo na nyuma wala mbele visingekuwepo.
 
Yesu kristo wa Nazareth ndiyo jibu pekee,

(Hesabu 23:23) "Hakuna uchawi wala uganga utakaoinuka katika Israel"
 
Hivi kwanini binadamu wengine mnapenda chokochoko?
Hivi ukiheshimu imani ya mwenzio utapungukiwa kitu gani?
Sometimes natamani kama binadamu wote tungekua mapagani tu labda machafuko na vita vya kidini visivyo na nyuma wala mbele visingekuwepo.

heri dunia inayomjua MUNGU! hapo kuna hofu kiasi kikubwa sana!

refer sodoma na gomora!
 
jamani
kama kuna anayejua dawa za kuweza kuniondolea kuona wachawi hasa usiku
anisaidie nateseka sana,maana kila siku naweza kuona wachawi 3-5 na mashart yake nikuwa nisiwasemeshe wala nisiwafanye chochote, mwenye kujua anipm tuwasliane zaidi.

ni pm unielekeze nami niwaone niwatongoze
 
Back
Top Bottom