Natembea na mume wa mtu

Natembea na mume wa mtu

chebi hajabakwa huyo ana miaka 27 ujue hapa hajahadaika tatizo " i love u swrty inamchanganya""
chebi kwani kila anayekufata na kukuomba unamkubalia????
NA AKUMBUKE HAITOTOKEA SIKU YA MAHAWARA DUNIANI
 
Last edited by a moderator:
Mabachelor wanaotafuta wanawake wamejaa mjini na mikoani kwanini kupoteza muda na mume wa mwanamke mwenzio?
Kuendelea kuwa nae kuna mawili, moja utamfanya aitelekeze familia yake na kuwa chanzo cha kuparaganyika kwake, mbili ukishakolea na penzi lake utajikuta umejizibia riziki ya kupata mtu huru mwenye matarajio mema na wewe.
Mimi sielewi ni kwanini wanawake waliosoma hadi vyuo vikuu lakini kwenye mambo ya mapenzi ni wadhaifu kuliko walioishia kidato cha nne!
 
Wewe achana na mume wa Mtu. Siku yakikukuta ndio utajua madhara yake. Najua unafuata Pesa, Acha tamaaa.

kwa nilivyoelewa stori,naweza sema hii ni true love,na bahati mbaya sana huwa true love haifi.mtakwepana mtakimbiana but utaishi nayo daima dumu.muache afurahie mapenzi as long as wanamuheshimu mke halali.
 
endelez nae tu huyo mwanaume....siku ukicharanbwa mapanga ua ukiteguliwa kiuno au ukiliwa tigo ndo utajua utamu wake
Hahahaha unaweza kumla tigo ukafikiri unamkomoa kumbe ndio burudani yake.

Afu mama watoto umeanza lini tabia ya kuwabania wenzio wasipate utamu? Mme wa mtu siyo sumu bana.
 
Mrembo by Nature na Katungunya nimewapenda bure leo...i can see future!!!

In other news, kuna mdau hapa aliwahi kusema, "Ukichoka kufanya siri fumaniwa"

Unajua wanawake tumezidi kuzubazwa na hila za wanaume hasa wanapokuwa wanasarandia K na mate yanawatoka, sasa huyu walikutana kabla ya ndoa, kuvunja uchumba si dhambi why hakuuvunja akamuoa huyu wa school kama kweli alipendwa??hii ni hesabu ya hela ambayo hakuna anayeshindwa hata asiyejua kusoma anaikokotoa bwana. Ulishaona mtu akashindwa kuhesabu hela?

Sasa huyu mdada anajifanya mgeni wa mapenzi na kuhadaika na neno love....hapo ni mgegedo K ikichakaa anatambaa zake kama kawa.
 
kwa nilivyoelewa stori,naweza sema hii ni true love,na bahati mbaya sana huwa true love haifi.mtakwepana mtakimbiana but utaishi nayo daima dumu.muache afurahie mapenzi as long as wanamuheshimu mke halali.

Anatakiwa aamue kusimamia maadili na maamuzi ya kujenga future yake, moyo ukiuendekeza saa nyingine unapoteza, weka mipaka.. kwasababu tu ni true love yeye alale tu hata na waliooa?? wakati huo huo anapoteza muda wa kutafuta wake. 26 yrs sio michache asipoangalia atajikuta anabemenda madogo
 
we mwache mwenzio kapenda kuwa uhawara kugegedwa mchana tu usiku mpaka mume asingizie safari tena na mwenzie anacheo cha mrs yeye hawara a.k.a kimada, nyumba ndogo, kipozeo na kadhalika na usomi wake wote huo kipindi cha baridi anapopata shida wakati mwenzie kakumbatia hata baridi haijui
njoo kwangu mimi mwenyewe single and searching check avatar mwanamke wa kitz haswa
Wasomi wangapi hawajaolewa? Mwacheni mwenzenu ajipe raha bana.

Hivi unajua asilimia kubwa ya wanaume wenye ndoa wanacheat?
Unajua ni wanaume wachache sana wenye guts za kucheat na wake za watu?
Unajua asilimia kubwa ya wanaume wanacheat na mabinti?
Kwanini unamshangaa huyu we binti?
 
Anatakiwa aamue kusimamia maadili na maamuzi ya kujenga future yake, moyo ukiuendekeza saa nyingine unapoteza, weka mipaka.. kwasababu tu ni true love yeye alale tu hata na waliooa?? wakati huo huo anapoteza muda wa kutafuta wake. 26 yrs sio michache asipoangalia atajikuta anabemenda madogo
Nani alikudanganya wanawake wanatafuta? Wanawake wanatafutwa bana! Sasa kama yeye hajatafutwa afanyeje na utamu anaupata kwa mpenzi wake wa ukweli japo kashaoa?

Hivi unajua mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja? Unajua wanawake mko wengi kuliko wanaume? Sasa hao wanaokosa wanaume wa kuwaoa watatulizaje kiu zao za kibaiolojia?

Ama kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa.
 
Jitahidi uachane nae. Unapokuwa nae watu wanaokupenda na kutaka kukuoa unawazuia. Ni vizuri ukawa mwenyewe ili watu wanaotafuta wachumba waweze kukufata.
Kama nimemsoma vizuri hakuna sehemu aliyosema anataka kuolewa. Ye shida yake ni malavidavi na siyo ndoa.
 
,lakini naona kama limekuwa jaribu kwangu mana namuonea huruma mke wake japo ye ndo aliingia anga zangu lakini maadamu hana matatizo naona yeye ni innocent kwanini nitoke na mumewe japo,,japo nimempa warning huyu mwanaume asimfanyie vituko mke wake na aendelee kumuheshimu, na mimi simchokozi kwa namna yoyote ile yule mkewe.

!
kila nikirudia maneno haya naona kama dada yetu kajisahau kabisa.Huyu mama wa watu alipokuwa anaolewa hakujua kama huyu dada ana-exist, na mpaka unakuja hapa kuomba ushauri unajua kabisa kwamba wewe ndiyo umeingia kwenye anga za mwenzio.Huyu jamaa anajua sana thamani ya ndoa yake.hata usingemshauri, hawezi kamwe kumkwaza mke wake.amemchagua ili awe mama wa watoto wake.huu ni uamuzi ambao unachukuliwa na mwanaume aliyependa kweli kweli.ukitaka kujua unyama alionao kwako, mwambie unahisi ni mjamzito,ndiyo utajua anakupenda kiasi gani.
 
Siyo lazima awe muislam. Kwani wakristo wangapi wana mke zaidi ya mmoja? Kama vipi nyie halalisheni tu, mkafunge ndoa ya bomani. Sioni ubaya katika hilo. Hii habari ya mke mmoja ni sheria ya kanisa tu, haina madhara yoyote kiimani. Kwa uelewa wangu wa biblia, ni askofu tu ndiyo amezuiwa kuoa mke zaidi ya mmoja.
unatumia kitabu gani cha IMANI?
 
Wasomi wangapi hawajaolewa? Mwacheni mwenzenu ajipe raha bana.

Hivi unajua asilimia kubwa ya wanaume wenye ndoa wanacheat?
Unajua ni wanaume wachache sana wenye guts za kucheat na wake za watu?
Unajua asilimia kubwa ya wanaume wanacheat na mabinti?
Kwanini unamshangaa huyu we binti?

Kiongozi nakuona unavyomwaga lecture hapa kwa wajukuuz na wapwaz. Hataree......
 
ni tamaa za mwili na upweke unakusumbua hamna lingine..angekuwa anakupenda kiasi hiki kwanini haku-fight for you bibie? mpe papuchi weee mpaka aichakaze, utakuja kushtuka too late..!!
 
Nani alikudanganya wanawake wanatafuta? Wanawake wanatafutwa bana! Sasa kama yeye hajatafutwa afanyeje na utamu anaupata kwa mpenzi wake wa ukweli japo kashaoa?

Hivi unajua mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja? Unajua wanawake mko wengi kuliko wanaume? Sasa hao wanaokosa wanaume wa kuwaoa watatulizaje kiu zao za kibaiolojia?

Ama kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa.

Mimi mwenyewe nina njaa sana tu lakini nimekataa kujitia nuksi kwa kutembea na waume za watu, majaribu yapo sana tu ya nyie mlooa lakini chupi mkononi ila ndo hivyo kwa neema ya Mungu tunayashinda. MME WA MTU HAPANA NA MUNGU NIWEZEE JAPO NI NGUMU.
 
Siku ukija kumwagiwa maji ya moto/acid uje tena kutuomba ushauri, mume wa mtu sumu ..... sauri yako ,usishangae mke wake yupo humu jf sasa akisoma huu mkanda ataweza ku-link info na kugundua kumbe anaibiwa na mwizi yupo humu humu jf,sasa hapo ndo utashaaa kwa yatakayokupata
 
Kiongozi nakuona unavyomwaga lecture hapa kwa wajukuuz na wapwaz. Hataree......
Hahahha si unajua tena mkuu.... tunajipigia machapuo.

Hata kwenye amri za Mungu tumeambiwa "Usimtamani mwanamke asiye mke wako". Hapo ndipo mke wa mtu ni sumu inapokuja. Wanawake hawajazuiwa kutamani wanaume wasio wao......maana yake ni kuwa Mme wa mtu ni sukari.

CC: Raiza, gfsonwin, BADILI TABIA, Paloma, Kongosho, King'asti, cacico, snowhite Kaunga kwa taarifa

BCC: Kaizer, KakaKiiza, Kipaji Halisi, Fidel80, mzabzab kwa utekelezaji
 
Last edited by a moderator:
Mimi mwenyewe nina njaa sana tu lakini nimekataa kujitia nuksi kwa kutembea na waume za watu, majaribu yapo sana tu ya nyie mlooa lakini chupi mkononi ila ndo hivyo kwa neema ya Mungu tunayashinda. MME WA MTU HAPANA NA MUNGU NIWEZEE JAPO NI NGUMU.
Popote ulipo Kaizer, hebu njoo umfanyie usajili huyu binti.

Swali la kizushi: Je boyfriend wa mtu unaweza megana naye? Mchumba wa mtu?
Swali la mtego: Utamjuaje mme wa mtu?
 
Last edited by a moderator:
unaweza kujifunza kuacha kupenda kitu kinachokuumiza kwa kutafuta kasoro zake hata kama ni ndogo kisha ukaanza kuzijengea hoja kichwani huku ukiushawishi moyo wako kuanza kuziona ni kasoro kubwa, mwisho wa siku utajikuta unakuwa mbali naye.
 
Back
Top Bottom