Ni uzito wa mwili, umeanza kuninyima raha kabisa, nahisi nitakuwa depressed mwishowe.
Addiction mbaya jamani, roho I radhi lakini mwili dhaifu.
Msianze kuninanga, nahitaji kupewa moyo kuwa naweza kufanya na kufanikiwa. Natamani kuona ushuhuda kutoka kwa wenye tatizo kama langu na wanakabilianaje nalo.
Ni uzito wa mwili, umeanza kuninyima raha kabisa, nahisi nitakuwa depressed mwishowe. Nikifanya mazoezi wiki moja tu najikuta ratiba vululu vululu. Nikijaribu dayati ndio kabisaaa. Too much addicted to kyukyu, chapati, wali, soda and ice cream. Sijui mateja wa unga inawawia ngumu kiasi gani.
Natatizika, sina raha kabisa, msaada tafadhali.
Bora ukosee kuoa ama kuolewa kuliko kugeuzwa zombie. Hehehe mara ushaanza kuwa concious na appearance?
Nacheka kama mazuri lmao. snowhite njoo umshauri shosti.
Asanteni, kwa michango yenu, yaani kuanzia leo nachukua hatua maana my self esteem is at stake now.
Kongosho, don't be such a blonde now!:tongue:How? ...
if at all this is what we call NEW KIDS IN THE BLOCK!Asanteni, kwa michango yenu, yaani kuanzia leo nachukua hatua maana my self esteem is at stake now.