Natangaza nampenda "Smile"

Am his man...
haya leta sera zako wewe unayejiitaLastname

Kwani SMILE ni HE? Sitaki kuamini mko hivi.......:lol::eyebrows::embarassed2:

article-2107841-11F31549000005DC-492_634x810.jpg
 
Jamani nimekuwamo humu toka siku nyingi ila nimejiunga hivi karibuni. Huyu dada smile nimempenda saana jinsi anavyochangia mada na jinsi anavyotoa mada mpya. Kwanza, anachangia mada kwa heshima na akitoa mada atajitahidi sana kumjibu kila mtu tofauti na watoa mada ambao akishatoa mada yeye anaishia hachangii tena. Kumbuka kisa kilichompata cha kutonyoa mavuzi na ile ya kupimwa mimba na headteacher. Smile i love you !, you are brilliant gal !

Kwa hiyo unatutangazia tukusaidie kukutongozea?
 
hivi nyie wakaka nimewakosea nini???
mbona kila siku siku nasoma sredi za wenzangu kulaviwa na sio mimi???
yaan hata REJAO hanitaki...........duh
Jamani nampenda Marytina hata raha nakosa...tukutane pale ma..ko bar tule kuku na maongezi ya kina...
 
Mwenyewe kasema tufunge thread hii, kumbe Rijao smile mambo yako eee? basi namhurumia maana kwa akili yako na yake vitu viwili tofauti. lakini nitam PM akusaidie kukubadilisha mtazamo.

Kwenye nyekundu soma kwa makini usoje kupata mshtuko
 
rejao alikuwa anampenda smile lakini alikuwa anashindwa kumwambia sasa mimi nimemwambia anaanza kuona wivu. Ananikumbusha kuna rafiki yangu alikuwa anampa vitu mwanamke bila kumwambia kuna jamaa akaja moja kwa moja akamwambia wakakubaliana jamaa mwingine yule akaanza kudai vitu vyake vyoote alivyowahi kumpa. Sasa smile umechukua nini cha Rejao?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom