wiii wangu mboni unanichunia jameni?
We unaomboleza vibuti unavyopigwa huna lolote
Utamudu kweli kuuchuna?
Na ushabikimandazi wako tuujuao!
Macho zangu mbili luking yuu!
Sio mpaka nione . . . nyie semeni tu kama alikuwa mndenyi!
Napo sio mbaya, msimu wa kilimo huu.
Binamu ni akili yako...au nawewe ushalishwa unga wa ndele!!
Hello chitchat!
Natangaza kuwa ndoa kati ya Baba V na Mama v naivunja kuanzia leo tarehe 14 Oct 2013 kwa sababu Mama v hatumjui na sijui km anaexist.
Hivyo nikiwa km mwenyekiti naomba Mama v aje atoe tamko humu ili kutokana na majukumu kunizidia nimrudishie Baba V cheo chake Baba V huwezi kuongoza wanandoa wakati mkeo ni jina tu hivyo ni kama uko single!
I remain
Erickb52
Cc Vin Diesel Bishanga The secretary Katavi Excellent Chocs Arushaone Lady doctor Filipo Heaven on earth Mr Rocky Slave zubedayo_mchuzi Arabela amu sosoliso Mwalu mimi49 Judgement C6 charminglady Dena Amsi Mamndenyi nitonye Paloma Madame B Lucas sweetlady
kiwatengu YNNAH shansarie KOKUTONA figganigga Mentor TANMO Fixed Point snowhite stevoh DEMBA Kaizer ladyfurahia Nivea Avemaria KakaKiiza Mzee King'asti
Yan haeleweki
Baba V anazunguka tu hataku kucomment humu... nampa masaa 6 amlete mkewe la sivyo naendelea na wadhfa wangu