Natangaza kuivunja ndoa ya Baba V na Mama V

Natangaza kuivunja ndoa ya Baba V na Mama V

Leo tuko bize na sherehe ya kifo cha JK wa kwanza.

Ila kuna ka ukweli ndani yake. Where is Mama v????
 
Last edited by a moderator:
Baba V kuja huku uweke mambo sawa.

Ktk hili lazima uwajibike.
 
Last edited by a moderator:
@Erickb52 baba JR wangu uko powa?

Majukumu gani tena yamekuzonga?

Poleee sana, naa msalimie Chocs naona anachungulia


We acha tu mama Jr
Dunia shida sana ingawa kuna raha pia lol

Hujambo wewe?
 
Last edited by a moderator:
Baba V nadhani atakua Iringa, Samora stadium! Si tunasikiaga ni wa usalama wa neshno! Au?

Hahahahaa
Atakuwa yuko kwenye mbio za mwenge....ila haijalishi na hakuna huruma...aje na Mama v ndo ataeleweka
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom