Mbona hutaki tukapime DNA wewe Erickb52 kujua baba halisiu wa watoto hao wewe unaruka ruka kwa starehe zako na mkeo Chocs tuu
Mke wangu Dena Amsi mzima kabisa anakusalimia sana na mkeo Chocs
Yaani nimekumissije
Hujambo dear wangu KOKUTONA
Mimi niko salama kabisa nimekumiss wewe wa ubani wangu na mboni ya jicho langu
usipotee hivyo baby wangu
Erickb52 habari za masiku bana
nasikia watoto wako kule meatu wana shida sana ya chakula mwambie mkeo Chocs awafuate bana Baba V hivi kumbe hana ndoa na anasiamiaje ndoa kama hana ndoa imara
hapa lazima aje ajieleze aklimaliza majukumu yake huko iringa ya usalama wa neshno (refer Judgment
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.