Natangaza kuivunja ndoa ya Baba V na Mama V

Natangaza kuivunja ndoa ya Baba V na Mama V

Ndani ya ndoa kuna mengi...hayo mengine niachie tuuu!

Siumeona hata DEMBA mwenyewe hajui mumewe yuko wapi dah
Nahisi ndoa yao ni ndoano
 
Last edited by a moderator:
Ahahahahahahaahahahahahahahahahahahahahahah...aloooooooo

Ndo mana nakulav

Nalijua hilo mpenzi...
Zaidi ya yote maneno ya wanafiki na wenye hila hayakutishi na huyawazii...
Love you bby
 
Nalijua hilo mpenzi...
Zaidi ya yote maneno ya wanafiki na wenye hila hayakutishi na huyawazii...
Love you bby
Maisha yenyewe mafupi tujipe presha ili iweje..

Tule bata mpaka bata aseme.....

mwaaaaaah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom