Natangaza kuivunja ndoa ya Baba V na Mama V

Natangaza kuivunja ndoa ya Baba V na Mama V

Huu mwezi mchanga nao unaleta matatizo kwenye jamii yetu. Mama v embu jitokeze tumalize ubishi

Nimekuja nitonye, huyu Erik ameshindwa kwa baba watoto ameona alete ugomvi wa madaraka kwenye ndoa yangu. angejua na mimi nimepita pale 824KJ. ataisoma namba.
 
Last edited by a moderator:
Nimekuja sasa una lipi jingine. Uchu wa madaraka utakuuwa
Hahahahaaa
Madaraka ninayo bado ila kwa kuwa umekuja nitaanza kufanya mpango wa kumrudishia Baba V cheo chake maana niko busy na mbio za mwenge kwa sasa!
 
Last edited by a moderator:
Nimekuja nitonye, huyu Erik ameshindwa kwa baba watoto ameona alete ugomvi wa madaraka kwenye ndoa yangu. angejua na mimi nimepita pale 824KJ. ataisoma namba.
Hahahahaaa ili Mama v awepo wakati mmoja lazma pawepo na delay hahahaaa
Swiching of nanihiiii
Haya mwambie Baba V nae acomment
 
Last edited by a moderator:
bora kaka umeongea maana kwanini awe kiongozi wakati yeye ana mke?
ndo mana ndoa za humu mjengoni zinavunjika kila iitwapo leo.

Kwa hiyo ulitaka mwenyekiti nisiwe na mke? You can't be serious, usiku mrefu mama
 
Kaka nitonye usiwaze mkuu, nilikuwa busy na maadhimisho ya siku ya mwalimu mwenzetu NYERERE..Nimerudi tena na wife amekuja pia.
Hebu kuweni online wote tuone....!
Mbona we ukiwa inline Mama v anakuwa offline?
 
Last edited by a moderator:
bora kaka umeongea maana kwanini awe kiongozi wakati yeye ana mke?
ndo mana ndoa za humu mjengoni zinavunjika kila iitwapo leo.
Halafu dada Mama v akiwa online Baba V anakuwa offline....umeona kamchezo hako eeeh
Nareport abuse aisee hahahaaa
 
Last edited by a moderator:
Halafu dada Mama v akiwa online Baba V anakuwa offline....umeona kamchezo hako eeeh
Nareport abuse aisee hahahaaa

Ulianza kwa kuwadanganya wanajamvi kuwa Mama v hayupo, amekuja umeanza kumbwelambwela, No evil can befall a goodman either on earth or in heaven.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom