[emoji38][emoji38][emoji38]Mwambie akutumie control namba ulipie. Au account namba au payment gateway yoyote.
Control namba ndo mapango mzimaKanitumia no.ya simu,anadai hataki niseme nimemwibia! Ila nnamashaka!
Namwokoa binti mkuu maana hataki kuhonga huyo akihonga aliyehongwa anaweza hata pata ajali kwa namna roho itakavyomuuma muhongaji.Mbona unamfundisha roho mbaya na mwenzio keshatumiwa namba ya simu🤣🤣🤣🤣🤣
Safi sana mwamba.Namba ya simu sio official payment system, Mwambie akupe mfumo rasmi wa malipo sababu ya kudisburse your official expenses kwa ajili ya refunds na tax ommition. Mwambie ni lazima na huna namna isipokuwa hivyo...
Shukran mkuu. Sikukuu hizi wanaume tubebane tu.Safi sana mwamba.
Nnimeipenda hii![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Namba ya simu sio official payment system, Mwambie akupe mfumo rasmi wa malipo sababu ya kudisburse your official expenses kwa ajili ya refunds na tax ommition. Mwambie ni lazima na huna namna isipokuwa hivyo..
Namba ya simu sio official payment system, Mwambie akupe mfumo rasmi wa malipo sababu ya kudisburse your official expenses kwa ajili ya refunds na tax ommition. Mwambie ni lazima na huna namna isipokuwa hivyo...
HahahaWe jamaa unazijua fix asee! Nimecheka kwelii,yani atajiuliza hiv hiz n maneno gani?[emoji848][emoji51]
HakikaShukran mkuu. Sikukuu hizi wanaume tubebane tu.
Mzee usidanganyikeWe jamaa unazijua fix asee! Nimecheka kwelii,yani atajiuliza hiv hiz n maneno gani?[emoji848][emoji51]