Natandikwa za uso mwenzenu

Tuma upigwe mkuu ,ili tuwe sale .ila utakuwa umenizidi gori in aggregate Mana mi yakutolea sikutuma
 
Wadau kuna manzi mmoja nimeopoa, tunajuana kidogo background za home. Yupo mkoa D nami nipo mkoa S,anataka nimtumie kias cha sh.125,400 afanye mtihani online (focus africa) ili aweze kuajiriwa.

Je, nikwel kuna mitihani inayofanyika online ili mtu apewe ajira au ni upigaji?
Unamlipia ada ni mke wako?

Kulipa ada ni jukumu la mzazi wake unless awe mkeo.
 
Wadau kuna manzi mmoja nimeopoa, tunajuana kidogo background za home. Yupo mkoa D nami nipo mkoa S, anataka nimtumie kias cha sh.125,400 afanye mtihani online (focus africa) ili aweze kuajiriwa.

Je, nikwel kuna mitihani inayofanyika online ili mtu apewe ajira au ni upigaji?
Daah , Lengo lake sio baya. Ni kupata ajira karibu yako. Lakini hao watu ni matapeli wa Nairobi unalipia kwa ajili ya PAR lakini kazi hakuna lolote, ni kama college iliyoamua kutengeneza tangazo la kazi na kujiwekea link zao ili watu wawafate kupata hiyo certificate ya PAR ili kazi ipatikane, so ni utapeli tu
 
Back
Top Bottom