Natambulisha Live Online Tv kwenu

Natambulisha Live Online Tv kwenu

Kwangu mbona link inaonekana inamatatizo.?
3064f541c7810070f66451b0507340a5.jpg
 
Hongera sana mkuu. Rekebisha iwe na auto rotate. Channel za bongo ukiweka itakua poa sana. Nimetoka kustream mechi ya man na Chelsea kupitia mobdro, nilikuwa sijaona huu uzi ningetest.
Auto rotate ya msingi sana mkuu
 
Iko vizuri mtaalamu
Sio nzito inafunguka haraka
Jitahidi sana kwa chaneli za kibongo zile-ambazo huwa zinapatikana online ili uwe unique
 
Hongera sana mkuu. Rekebisha iwe na auto rotate. Channel za bongo ukiweka itakua poa sana. Nimetoka kustream mechi ya man na Chelsea kupitia mobdro, nilikuwa sijaona huu uzi ningetest.
Auto rotate ya msingi sana mkuu
Ahsante kiongozi kwa ushauri wako naufanyia kazi, maboresho yanaendelea
 
Madrid vs bilbao unaenjoy safi kabisa na bila chenga
Wadau Wana insist fanyia kazi certificate ili iwe na security tusijedukuliwa matigo pesa yetu na wahuni wakiku hack ila kazi nzuri sana
1477251752683.png
 
Safi sana uongeze super sport 5, 6 na 7 hapo itakua na za kibongo zaidi itakua poa sana. Umejitahidi sana
 
Hiyo application ipo kwenye format gani na inahitaji nini kuifungua maaana haisomeki kwenye pc yangu
 
Ni nzuri sana. Hongera nyingi kwako. Jitahidi utuwekee na local channels. Shukran
 
Ahsante kiongozi kwa ushauri wako naufanyia kazi, maboresho yanaendelea
Poa poa. Nacheck live game la madrid chaneli ya azam sports.
Big up!
 
Attachments

  • Screenshot_2016-10-23-22-55-23.png
    Screenshot_2016-10-23-22-55-23.png
    74.4 KB · Views: 129
Back
Top Bottom