28/03/2015
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 366
- 335
- Thread starter
- #121
Tuko pamoja ahsante sanaHongera sana,I like it!!
Tuko pamoja ahsante sanaHongera sana,I like it!!
Poa, ahsante tuko pamojaKeep it up mkuu. Natizama game ya LA Galaxy live bila chenga.
Software ya Computer inakuja, nitawataarifu ikiwa tayari. Tupo pamojaHongera sana mdau kazi nzuri.
Ila kama inawezekana toa na application ya computer mkuu itakua umeokoa jahazi sanaa.
Ahsante, nashukuru sana tupo pamojaKaka ongera umetisha mkuu mungu akufanyie wepesi ufanikiwe malengo yako ndugu
Utakua umesave betry zenu za simu mkuu.Software ya Computer inakuja, nitawataarifu ikiwa tayari. Tupo pamoja
Sawa, nashukuru kwa ushauri nitaufanyia kaziiko vizuri ila ushauri wangu jina jaribu kuipa jina la kipekee kabla hujaiweka praystore
hasa likae kibongobongo zaidi nk
mana ONLINE TV nahisi haitoshi
Nashukuru mdau kwa ushauri huo nimeupokea, AhsanteUtakua umesave betry zenu za simu mkuu.
Ila kwanini usingetuma brand name yako mkuu ujitangaze vizuri hili jina la onlineTV halikutendei haki kabisa mdau.
Jina liwe MkomboziSawa, nashukuru kwa ushauri nitaufanyia kazi
Ahsante kwa ushauri, tuko pamojaJina liwe Mkombozi
Hongera sana mkuu. Nimeinstall na naona I napiga kazi fresh. Ila kama vp one za local chanel kama itv, start TV nk.
Jamani kwa heshima na unyenyekevu mwingi, nimetengeneza application ya kutazama live Tv online lakini bado sijaiweka Play store kwa hiyo unaweza ukaidownload kwa kubonyeza link hiyo chini, Kuna channel zaidi ya 20, zikiwemo azam one,azam two,Azam sports HD, Super Sport 1,2,3, na nyingine nyingi, unapo-install itabidi uruhusu instalation from unknown sources, kwa kuwa haijawekwa bado play store na pia maboresho yanaendelea Download Online Tv
Naomba nisikuahidi Ila nitaweka jitihada pia katika hiloUsisahau na bunge live kwahuu ujuz wako najua utaweza tuu wakina nape hawakuwez wewe
Mkuu we ni mkali nmeinstall inapiga kazi ila tunakuomba mkuu na eatv usiache kuiweka kaka muhimu sana ze comed show na uswazzzz