Natambulisha Live Online Tv kwenu

Natambulisha Live Online Tv kwenu

Hapa ni full burdani..nipo safarini nafurahi kupitia Halotel.....Safi sana.
 
Aisee. ....we jamaa ni mkali.
Nimejaribu inapiga mzigo fresh kabisa.

Haya tuhabarishe kuhusu gharama maana dunia hii ya viwanda hakuna cha ubwerere, vipi matumizi ya bundle lakini pia multchoice watakuacha salama na hizo supesports zao??
Kaka mjibu huyu....
 
Matumizi ya bundle yanatofautiana kutoka channel moja hadi nyingine, kwa sababu zimetofautiana quality, ila ishu ya multchoise nitalifanyia kazi, na application sio ya kulipia, ukibonyeza hayo matangazo unakuwa umenisupport
 
Keep it up mkuu. Natizama game ya LA Galaxy live bila chenga.
 
Back
Top Bottom