28/03/2015
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 366
- 335
- Thread starter
- #761
PoaImekubali ahsante sana
PoaImekubali ahsante sana
Kitu gani ambacho umeona kinazingua?Mbona hiyo tv online inzingua kama vp tuambieni tufute app yenu bahna.
Kwenye pc au simuBaada ya kudownload, nenda kwenye file manager, fungua location ambapo vitu ulivyodownload vinajihifadhi, kisha ibonyeze app
Jamani kwa heshima na unyenyekevu mwingi, nimetengeneza application ya kutazama live Tv online lakini bado sijaiweka Play store kwa hiyo unaweza ukaidownload kwa kubonyeza link hiyo chini, Kuna channel zaidi ya 20, zikiwemo azam one,azam two,Azam sports HD, Super Sport 1,2,3, na nyingine nyingi, unapo-install itabidi uruhusu instalation from unknown sources, kwa kuwa haijawekwa bado play store na pia maboresho yanaendelea Download Hapa
View attachment 423040 View attachment 423041 View attachment 423042 View attachment 423044 View attachment 423045 View attachment 423046 View attachment 423047 View attachment 423048 View attachment 423049 View attachment 423050 View attachment 423051 View attachment 423052 View attachment 423053 View attachment 423054 View attachment 423055 View attachment 423056 View attachment 423057 View attachment 423058
Ahsante kwa ushauri huo nitaufanyia kaziHii app yako nzuri ila inahitaji marekebisho kwenye azam channels hazipatikani. Vipi utatusaidiaje kuinstall app kwenye amazon fire stick maana amazon fire tv hawakubali kuingiza any application kutoka google play. Iweke kwenye store nyengine kama aptoide ili kuweza kupakua please.
Kazi nzuri, nafurahia kazi ya mtanzania mwenzanguSasa kwa kutumia Online Tv app, Tazama live Tv channels za Kenya, Uganda , Rwanda, DR Congo (Kinshasa) Tanzania n.k popote ulipo kwenye simu yako......... Endelea Kutumia Online Tv app, Simu yako, Tv yako. kama bado hujadownload app yetu bonyeza link hii http://onlineapptv.one/Downloads/Online TV.apk
AhsanteKazi nzuri, nafurahia kazi ya mtanzania mwenzangu
Popote nilipo sina wasiwasi wa kutokupata local news through radio and TVs
AhsanteSafi sana mkuu
vipi kwa window phone 8.1Jamani kwa heshima na unyenyekevu mwingi, nimetengeneza application ya kutazama live Tv online lakini bado sijaiweka Play store kwa hiyo unaweza ukaidownload kwa kubonyeza link hiyo chini, Kuna channel zaidi ya 20, zikiwemo azam one,azam two,Azam sports HD, Super Sport 1,2,3, na nyingine nyingi, unapo-install itabidi uruhusu instalation from unknown sources, kwa kuwa haijawekwa bado play store na pia maboresho yanaendelea Download Hapa
View attachment 423040 View attachment 423041 View attachment 423042 View attachment 423044 View attachment 423045 View attachment 423046 View attachment 423047 View attachment 423048 View attachment 423049 View attachment 423050 View attachment 423051 View attachment 423052 View attachment 423053 View attachment 423054 View attachment 423055 View attachment 423056 View attachment 423057 View attachment 423058
Now days free haina BBC na radio one haishiki only loading. Najiuliza ni shida gani??Ahsante