Natambulisha Live Online Tv kwenu

Aisee big up mkuu, mwenyewezi Mungu akusaidie mafanikio zaidi naona iko vizuri sana, kwa ushauri Fanya mpango uingize kwenye play store na kama ikiwezekana kwenye window ili utafute na matangazo itakutoa sana
 
Ahsante kwa ushauri
 
Tulikuwa tunafanya update lakini sahizi link ipo active tena http://onlineapptv.one/Downloads/Online TV.apk
55059cc32d3629a0d9b6e2b42c22c478.jpg

Haitaki mkuu angalia hapo
 
Apk hii nayo inazingua sijui tatizo nn, nikigusa kufungua inafungukia kwenye word document alafu inakuwa na maandishi ka ya kichina
Baada ya kudownload, nenda kwenye file manager, fungua location ambapo vitu ulivyodownload vinajihifadhi, kisha ibonyeze app
 
Back
Top Bottom