ikiandika oops wewe nenda upande wa kulia refresh page itaonekana icon fulan ya blue ibonyeze hyo icon uta download appHata kwangu haisomi
Ahsante kwa ushauri wakoHongera mkuu. Napenda watu wanaojituma, fanyia kazi maoni ya watu utafanikiwa zaidi. Nimeijaribu inafanya kazi vizuri.
Nilifikiria mm peke yangu kumbe hazifunguki kote!Mbona Azam tv hazifanyi kazi kwenye muda wa michezo?
Ukijiunga na bando za Airtel money raha mtupuVip kwenye kutafuna bundle inakuaje?
Naomba unitumie link ya kudownload Kwenye Android coz kila nikijaribu inagoma.Star Tv, sasa ipo live
Usipate Shida ndugu Hii Hapa...http://onlineapptv.one/Downloads/Online TV.apkNaomba unitumie link ya kudownload Kwenye Android coz kila nikijaribu inagoma.
AhsanteHongera sana kaka kwa ubunifu wako
Tumia browser nyingine, unitumie operaMbona mm nikienda kwenue link inaniletea hiki
Thanks a lot.Usipate Shida ndugu Hii Hapa...http://onlineapptv.one/Downloads/Online TV.apk