Natambulisha Live Online Tv kwenu

Natambulisha Live Online Tv kwenu

Halafu siku za mechi ndio mnazitoa
Kwahiyo lengo lao wanataka tuwe tunaangalia tamthilia tu au!!!!!! [emoji1] [emoji1], kwakweli TZ bado tutaendelea kuwa wa mwisho ktk nyanja zoote
 
Kwahiyo lengo lao wanataka tuwe tunaangalia tamthilia tu au!!!!!! [emoji1] [emoji1], kwakweli TZ bado tutaendelea kuwa wa mwisho ktk nyanja zoote
We si unaona kila ikifika kipindi hiki inakua inazingua lakini?
 
cd95f719478374aaa6c9fafde6ec69b7.jpg
 
Ngoja nami nidownload niweze kutazama kilichomo.
 
Screenshot_20170127-153215.png
Hongera sana ndugu, ila naomba uongeze ukubwa wa picha. Hii picha ya juu ni ya kwenye App yako. Na hii ya chini ni ya kwenye App ya ITV.
Screenshot_20170127-153215.png
Screenshot_20170127-153724.png
 
Hivi hii channel inayooneka super sport mbona sio zile za south Africa?
 
Kak naomba hiyo link Uitume upya maana hyo ya mwanzo kila nikifanya inkataa
 
Back
Top Bottom