28/03/2015
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 366
- 335
- Thread starter
- #181
Inagoma isemaje? Nitakutumia attachment inboxnajaribu kufata link inagoma! natumia H8401
Inagoma isemaje? Nitakutumia attachment inboxnajaribu kufata link inagoma! natumia H8401
Bonyeza link iliyopo kwenye post, itaanza kudownload, kma itakuwa bado naomba usubiri, nitakutumia kwa inboxMbona nimekwenda Google nimekuta links kibao, sasa cjui ipi jaman, mwenye kujua bac
Naomba usubiri nitakutumia attachment inboxMm na_download harafu siioni, na nikienda on Google nashindwa kuitambua maaan zipo nying mno
Bonyeza link iliyopo kwenye post, itaanza kudownload, kma itakuwa bado naomba usubiri, nitakutumia kwa inbox
Hongera kwa utafiti dogo, (Tanzania ya viwanda yaja) Weka basi na link kwa ajili Mac computers!!!Jamani kwa heshima na unyenyekevu mwingi, nimetengeneza application ya kutazama live Tv online lakini bado sijaiweka Play store kwa hiyo unaweza ukaidownload kwa kubonyeza link hiyo chini, Kuna channel zaidi ya 20, zikiwemo azam one,azam two,Azam sports HD, Super Sport 1,2,3, na nyingine nyingi, unapo-install itabidi uruhusu instalation from unknown sources, kwa kuwa haijawekwa bado play store na pia maboresho yanaendelea Download Online Tv
Nitakutumia attachment inboxInakataa hata kudownload mkuu
Itakuja naomba uendelee kusubiri nitawajulisha ikiwa tayariHebu tucheki na sisi wa iPhone
Inasumbua inasemaje?Yangu inasumbua tecno Y-4
Itakuja naomba uendelee kusubiri nitawajulisha ikiwa tayari
Poa poa MkuuNitakutumia attachment inbox