Natamani wiki leaks ianike uozo wa Dowans | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natamani wiki leaks ianike uozo wa Dowans

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Planner, Dec 28, 2010.

 1. The Planner

  The Planner JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Nadhani wiki leaks wanaweza wakawa na mlolongo mzima wa hii skendo ya Dowans! I wish Assange angetusaidia kuitoa live hii nayo, though najua watu wanafahamu hasa nani mmiliki halisi wa Dowans. It is paining knowing that huu ni wizi wa hadharani halafu mkuu wa kaya yupo kimya. kuna mambo mawili hapa either kaibinafsisha serikali yake kwa hawa wenye Dowans au ni mdau mkubwa kwenye huu mgao (yupo kwenye payroll yao)
   
 2. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,311
  Trophy Points: 280
  Ni nini ambacho hujui/hatujui kuhusu Dowans na Richmunduli? Na hata kama hujui/hatujui... ukishajua/tukishajua uta/tutafanya nini? Na huyo mkuu wako wa kaya atafanya nini? Ulishaona wezi wamepora mahali halafu wakajihukumu kwenda jela wenyewe?
   
 3. The Planner

  The Planner JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mwanzo wa hukumu siku zote ni kujua nani ni mhusika mkuu wa tukio.,huwezi kuendesha kesi isiyokuwa na mhusika! Fikirisha ubongo wako kidogo tu!
   
 4. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,873
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama WikiLeaks wanainterest na Dowans unless kama kuna stori inayohusisha maslahi ya wamarekani. In other words what WikiLeaks is currently exposing are diplomatic cables sent from different American embassies around the world to the State Dept. WikiLeaks is not particularly interested in TZ politics (in my opinion).
   
 5. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  ili iweje?

  mimi natamani hao wikileaks waanike uozo wa KUNGOLEWA kwa reli ya kwenda MTWARA iliyongolewa na Serikali ya Nyerere

  Then watuonyeshe TANGA ilivyodhulumiwa miaka 50 tangu tupate uhuru
   
 6. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #6
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145

  Kutokana na post yako hii, nina HAKIKA huelewi jinsi WikiLeaks inavyofanya kazi.

  Hili wazo si geni, hata mimi nilikuwanalo, na ni natural progression, kutokana na maendeleo kwenye TEKNOHAMA!

  WikiLeaks inaendeshwa na mmiliki wake, Julian Assange, lakini SIO YEYE mwenye kutoa hizo taarifa. Taarifa zinatolewa KWA SIRI na BILA UTAMBULISHO (Anonymous). Anachoomba Assange ni kwamba, taarifa hizo ZIWE ZA UKWELI. Na, kwa asilimia 100, NI ZA UKWELI!

  Wanaotoa taarifa hizo kupitia tovuti yake ya Wikileaks - Wikileaks ni watu wa kawaida, KAMA WEWE, ambao wamechoshwa na uozo uliopo duniani. Hata huku Tanzania pia kuna watu wametoa data, zimechapishwa kwenye website hiyo.

  Sasa, kama wewe unamjua mtu mwenye data - ALIYEKO NDANI YA DOWANS - ambaye amechoshwa na uozo uliopo pale, mtafute, mwambie akupe hizo data, uziweke kwenye WikiLeaks, zikishakuwa posted na kuorodheshwa mle, unasambaza link hata hapa JF.

  Umenielewa?

  SIO Assange ambaye ana uwezo wa kuanika uozo wa DOWANS, RICHMOND, EPA, BUZWAGI, MEREMETA, na mambo mengine, BALI NI WEWE TU!

  Kazi kwako. Ushindwe mwenyewe! Usimpe sifa Assange ambazo SIO ZAKE. Hata mimi nilikuwa na wazo hili, lakini kwa kuwa sisi Wabongo tunapenda KUJISHUSHA WENYEWE, kwamba HATUWEZI, nilipowaeleza wenzangu wanipe mawazo, nikaambiwa: WATAKUFUNGA! Nikaogopa! Hata rafiki yangu Maxence huwa ananiambia: Nyie Watanzania ni WAOGA SANA!

  Hahahahaa!

  > Mwana wa Haki
   
 7. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #7
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145

  Kaka, WikiLeaks wana interest na uozo wote uliopo duniani. Hebu nenda pale Wikileaks - Wikileaks ucheki kama habari za Tanzania hazipo. Usiseme jambo ambalo HUNA UHAKIKA NALO! Wewe nani kakuambia kwamba WikiLeaks haiitambui Tanzania? Mbona habari zilizotolewa na The Guardian UK kuhusu aliyoyasema PCCB Director General Edward Hosea, kwamba anahofia maisha yake kwa kuwa anawachunguza wala rushwa na mafisadi, ambapo anadai kwamba JK hataki washtakiwe mahakamani, ZIMETOKA kwenye WikiLeaks?

  Before you speak, PLEASE THINK. Having the right to post does not give you the right to post MISLEADING INFORMATION!

  Umetumwa?
   
Loading...