natamani sana kukutana na wachawi live!!

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,463
Reaction score
17,956
jamani wadau nina hamu kubwa sana kukutana live na hivi viumbe hai vinavyoitwa wachawi!

kila siku navizia mida yao ya kuroga ambayo ni hii kuanzia saa sita lakini wapi!!!

nataka nivione uso kwa uso!

nasikia vikogo uchi, vimejipaka majivu, vinatembea kinyume nyume, havina huruma!!

kwa hapa dar es salaam especially kinondoni, wanapatikana wapi hawa?

mwenye namba zao aziweke jamvini tuwatafute hewani!!
 
Ili utuone masharti yetu magumu !
Na si huenda ! Ni dhahiri yatakufedhehesha !
Are you ready ?
 
ungewacheki kwenye kale kamsitu ka salenda kuanzia saa saba usiku, nimewahi waona hapo.
 
Uchawi ni story za kusadikika tu utasubiri miaka usione kitu mkuu
 
Mtafute Katavi atakupa kontakt za kile kijiji walichokusanywa kule kwao.
 
Last edited by a moderator:
Mi nlikutana na mchawi tena msichana ambaye hajaolewa. Usiombe kama huna nguvu za kichawi waweza kufa.
 
Masharti yake utayaweza kweli? Fanya hv chukua ndimu kubwa tatu kitambaa cha kaniki mita 3, jivu na ndala mbovumbovu
Subiri mpaka saasita kamili Usiku Uwe umeshafika mlango wa makaburi ya kinondoni
vua nguo zote jipakaze jivu mwili mzima vaa ndala zako ya kushoto kulia na kulia kushoto, kata ndimu zako pande mbilimbili, utakuwa na vipande sita, vipande vitatu vibane kwenye mfereji wa makalio viwili makwapani kimoja mdomoni ingia makaburini kinyumenyume

Utajikuta kwenye ulimwengu mwingine kabisa

Ukiweza hili nitakufundisha jinsi ya kuloga hata kuwa popobawa
 
NImecheka kwa sauti aisee!
 
ungewacheki kwenye kale kamsitu ka salenda kuanzia saa saba usiku, nimewahi waona hapo.

mkuu una connection nao?

sijui wana operate vipi hawa viumbe!

how comes mtu ana move kwa dakika 5 from dsm to nigeria?

ntaifanyia partcipant research hii!
 
Masharti yake utayaweza kweli? Fanya hv chukua ndimu kubwa tatu kitambaa cha kaniki mita 3, jivu na ndala mbovumbovu
Subiri mpaka saasita kamili Usiku Uwe umeshafika mlango wa makaburi ya kinondoni
vua nguo zote jipakaze jivu mwili mzima vaa ndala zako ya kushoto kulia na kulia kushoto, kata ndimu zako pande mbilimbili, utakuwa na vipande sita, vipande vitatu vibane kwenye mfereji wa makalio viwili makwapani kimoja mdomoni ingia makaburini kinyumenyume

Utajikuta kwenye ulimwengu mwingine kabisa

Ukiweza hili nitakufundisha jinsi ya kuloga hata kuwa popobawa

hiyo tayari!

ona my new look!

popup_2_12_30.jpg
 
njoo huku kwet juzi juzi kuna mmoja kadondoka

na Ungo halafu yuko kama alivyozaliwaaaa

hahahaaa!!! afu hivi vijamaa havinaga hata huruma!

lakini vikidondoka vinakuwa na nyuso za huruma kama nini sijui!
 
Mi nlikutana na mchawi tena msichana ambaye hajaolewa. Usiombe kama huna nguvu za kichawi waweza kufa.

hahaaa!! sasa wewe kama kijana maji ya moto, hali ilikuwaje?
 
wewe nawe mpe kontakti za wale jirani na kwenu...

hivi aliyekuja bongo enzi zile na kuanza kuhofu popobawa ni nani?

ni Baba V au Katavi ?

naona toka sheikh yaya adanji, stori za popo zimeisha kabisa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom