natamani sana kukutana na wachawi live!!

hahahaaa!!! afu hivi vijamaa havinaga hata huruma!

lakini vikidondoka vinakuwa na nyuso za huruma kama nini sijui!

we alikuwa mpole.......halafu macho yake yalikuwa mekunduuuuuu

mtu mwenyewe sasa mmmmh acha tu Excel
 
Last edited by a moderator:
Masharti yake utayaweza kweli? Fanya hv chukua ndimu kubwa tatu kitambaa cha kaniki mita 3, jivu na ndala mbovumbovu
Subiri mpaka saasita kamili Usiku Uwe umeshafika mlango wa makaburi ya kinondoni
vua nguo zote jipakaze jivu mwili mzima vaa ndala zako ya kushoto kulia na kulia kushoto, kata ndimu zako pande mbilimbili, utakuwa na vipande sita, vipande vitatu vibane kwenye mfereji wa makalio viwili makwapani kimoja mdomoni ingia makaburini kinyumenyume

Utajikuta kwenye ulimwengu mwingine kabisa

Ukiweza hili nitakufundisha jinsi ya kuloga hata kuwa popobawa

hahahahaha hiyo kweli kiboko
 
Mkuu naona atashindwa pale kwenye kuvibana vile vipande vitatu vya ndimu duuuhh kwenye nanihii yake. anyway let him try
 
jamani wadau nina hamu kubwa sana kukutana live na hivi viumbe hai vinavyoitwa wachawi!

kila siku navizia mida yao ya kuroga ambayo ni hii kuanzia saa sita lakini wapi!!!

nataka nivione uso kwa uso!

nasikia vikogo uchi, vimejipaka majivu, vinatembea kinyume nyume, havina huruma!!

kwa hapa dar es salaam especially kinondoni, wanapatikana wapi hawa?

mwenye namba zao aziweke jamvini tuwatafute hewani!!

tutakutana baadae ntakuja hapo kwenye pembe ya kijichumba chako!
 
we alikuwa mpole.......halafu macho yake yalikuwa mekunduuuuuu

mtu mwenyewe sasa mmmmh acha tu Excel

nasikiaga eti ikitokea akidondoka tu anaishiwa nguvu,

but ikitokea mtu akamgusa hata kama si mchawi, basi nguvu

zinamuijia ghafla halafu anapotea!

hawa watu sijui wanawazaga nini kutembea wa mnyama vile!

confidently!
 
tutakutana baadae ntakuja hapo kwenye pembe ya kijichumba chako!

Kwa taarifa yako leo halali kwenye kajichumba kake.. belive me, si utakwenda !!! kesho tuhabarishe kama ulimkuta ha haa haaaaa chezea tekinologi ya kibantu weye..
 
mie yangu ni zaidi ina mchanganyiko adimu..kesho atakuja kukusimulia
 
Masharti yake utayaweza kweli? Fanya hv chukua ndimu kubwa tatu kitambaa cha kaniki mita 3, jivu na ndala mbovumbovu
Subiri mpaka saasita kamili Usiku Uwe umeshafika mlango wa makaburi ya kinondoni
vua nguo zote jipakaze jivu mwili mzima vaa ndala zako ya kushoto kulia na kulia kushoto, kata ndimu zako pande mbilimbili, utakuwa na vipande sita, vipande vitatu vibane kwenye mfereji wa makalio viwili makwapani kimoja mdomoni ingia makaburini kinyumenyume

Utajikuta kwenye ulimwengu mwingine kabisa

Ukiweza hili nitakufundisha jinsi ya kuloga hata kuwa popobawa

Unanitisha mkuu. Lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom