Natamani nichukue maamuzi magumu sana

Natamani nichukue maamuzi magumu sana

Unajua mambo ya familia na migogoro inakera sana, kama hapa tunauguza Mzee yupo hoi kitandani, mara ndugu Hawa wanasema hichi, mara bimkubwa nae anasema hichi, ndugu nao badala waonyeshe umeona wapambane wanakua wanapishana.

Yani familia nyingne kuzaliwa ni mikosi tu, Kuna weza kusiwe na njaa lakini migogoro, ulevi na kutokuelewana kukapoteza amani kabisa.

Sasa Kwa mtu kama Mimi nnaependa amani natamani nipotee kabisa, nibadlishe namba ya simu na account zangu Facebook, nipotee tu Mimi kama Mimi nisijulikane nilipo na wao nisijue wanaendeleajee nianze maisha yangu Mimi kama Mimi, Yani niwe kama Sina ndugu Wala wazazi, jirani zangu ndio watakua ndugu zangu.

Kuna mtu ashawahi kufanya hivi? Alifanikiwa?
Napendaga sana mstari mmoja kwenye Biblia. Unasema " usifungwe nira pamoja na wasioamini". Cha msingi waeleze kwanza jinsi usivyopendezwa na majibizano na migogoro yao na unapenda kuona mnaishi kwa aman ukiona wanakaza unamuachia Mungu watu wake anawajua zaidi. Atamalizana nao.
 
Huu ushauri nimeupenda sana
 
Ndicho nilichofanya nilivyoona ndugu ni vipele kuliko watu baki.Amani ndiyo maisha bora mkuu
Ninaunga mkono hoja.

Mimi ninayafanya haya.

Ni dawa nzuri sana ya matatizo katika familia za Kiafrika.

Siwezi kubadili namba ya simu kwa sababu nitapoteza connection.

Ukimya ni jibu zuri!
 
Changamoto hutatuliwa hapohapo ulipo. Kukimbia sio kumaliza tatizo.
Ikiwa lengo lako ni kukaa mbali na nduguzo basi subiri hizo changamoto ziiishe kabisa ndipo uondoke ukiwa na amani ya Moyo wako.

Usilipe ubaya kwa ubaya.
Iwapo mtu anataka kukaa mbali ili kuilinda afya yake ya akili yake, basi sioni sababu yeyote ya kumzuia.

Mwanaume kamili ni muhimu kuilinda afya yake ya akili kwa sababu ukikosa afya ya akili hata nguvu za kiume zinaisha na cha moto utakipata.

Kuna wakati unapambana ila ajabu ni kwamba wakati mwingine hata unayempambania naye yuko kinyume na wewe kimya kimya!
 
pambana na uzoee tu, hayo ndio maisha yetu mvurugano mkubwa wa nafsi na fikra unaanzia kwenye ngazi ya familia na life style ni matokeo ya mivurugano hiyo. Wewe komaa tu na ujifunze kuishi na matatizo kwani ni sehemu ya maisha
 
Unajua mambo ya familia na migogoro inakera sana, kama hapa tunauguza Mzee yupo hoi kitandani, mara ndugu Hawa wanasema hichi, mara bimkubwa nae anasema hichi, ndugu nao badala waonyeshe umeona wapambane wanakua wanapishana.

Yani familia nyingne kuzaliwa ni mikosi tu, Kuna weza kusiwe na njaa lakini migogoro, ulevi na kutokuelewana kukapoteza amani kabisa.

Sasa Kwa mtu kama Mimi nnaependa amani natamani nipotee kabisa, nibadlishe namba ya simu na account zangu Facebook, nipotee tu Mimi kama Mimi nisijulikane nilipo na wao nisijue wanaendeleajee nianze maisha yangu Mimi kama Mimi, Yani niwe kama Sina ndugu Wala wazazi, jirani zangu ndio watakua ndugu zangu.

Kuna mtu ashawahi kufanya hivi? Alifanikiwa?
Mkuu inawezekana kabisa kuanzisha ukoo wako wenye majina utakayaamua wewe. Badilisha namba futa kabisa namba zote kwenye simu yako, nenda nchi jirani au mkoa ulio mbali na mkoa wako then kajitafute huko. Tafuta mke zaa watoto wengi wape majina na watumie sirname jina ulilojipa wewe. Tayari hapo hutafahamika kabisa
 
pambana na uzoee tu, hayo ndio maisha yetu mvurugano mkubwa wa nafsi na fikra unaanzia kwenye ngazi ya familia na life style ni matokeo ya mivurugano hiyo. Wewe komaa tu na ujifunze kuishi na matatizo kwani ni sehemu ya maisha
Si Bora nitulie tu nilipo nihangaike na maisha yangu?
 
Mi ndugu na mama wa kambo walinigombanisha na mzee nliamua kujshusha kuomba msamaha hata kwa kosa ambalo sjafanya lakn wapi mzee akanitamkia kbs eti ameni delete nikamshukuru ksha nkasepa zangu tokea mwaka 2017 hajui npo wapi na ndugu wote mpk wadogo zng wa damu hawajui npo wp akaunt zng mitandaon siwek pch zng na natumia majina fake. Ndugu zng n watu baki kbs nina family yng MUNGU ANAZIDI KUNITETEA japo huwa naskia mzee anasema nmemkataa bt bnafs sjabadili msimamo wng.
 
Unajua mambo ya familia na migogoro inakera sana, kama hapa tunauguza Mzee yupo hoi kitandani, mara ndugu Hawa wanasema hichi, mara bimkubwa nae anasema hichi, ndugu nao badala waonyeshe umeona wapambane wanakua wanapishana.

Yani familia nyingne kuzaliwa ni mikosi tu, Kuna weza kusiwe na njaa lakini migogoro, ulevi na kutokuelewana kukapoteza amani kabisa.

Sasa Kwa mtu kama Mimi nnaependa amani natamani nipotee kabisa, nibadlishe namba ya simu na account zangu Facebook, nipotee tu Mimi kama Mimi nisijulikane nilipo na wao nisijue wanaendeleajee nianze maisha yangu Mimi kama Mimi, Yani niwe kama Sina ndugu Wala wazazi, jirani zangu ndio watakua ndugu zangu.

Kuna mtu ashawahi kufanya hivi? Alifanikiwa?
Una uhakika siyo madhara ya umasikini?

Matatizo hayakimbiwi yanakabiliwa.

Inatakiwa kwemye ukoo mkubwa kabisa ki umri ndiye awe captain na uamuzi wake uheshimiwe.
 
Kama familia maskin hapo hata mawazo yanayotoka kwa makubwa ni invalid, irrelevant to the modern life
 
Back
Top Bottom