Natamani nichukue maamuzi magumu sana

Natamani nichukue maamuzi magumu sana

Kama una mke na watoto hiyo ndio familia yako; pia unaweza kuongeza familia yako nyingine kama kuwa na vijana wa kazi, biashara n.k
Muhimu ni kuwa na amani ya nafsi; kumbuka tunaishi mara moja na si vizuri kubeba kero za wengine na kupunguza furaha uliyonayo.
Ata ukipiga mahesabu kama ndio wewe umepata hiyo changamo, wao watakusaidia kwa lipi? Kama jibu ni hakuna, pambana na maisha yako na hao ndugu piga chini.​
I chooset this principle
 
Unajua mambo ya familia na migogoro inakera sana, kama hapa tunauguza Mzee yupo hoi kitandani, mara ndugu Hawa wanasema hichi, mara bimkubwa nae anasema hichi, ndugu nao badala waonyeshe umeona wapambane wanakua wanapishana.

Yani familia nyingne kuzaliwa ni mikosi tu, Kuna weza kusiwe na njaa lakini migogoro, ulevi na kutokuelewana kukapoteza amani kabisa.

Sasa Kwa mtu kama Mimi nnaependa amani natamani nipotee kabisa, nibadlishe namba ya simu na account zangu Facebook, nipotee tu Mimi kama Mimi nisijulikane nilipo na wao nisijue wanaendeleajee nianze maisha yangu Mimi kama Mimi, Yani niwe kama Sina ndugu Wala wazazi, jirani zangu ndio watakua ndugu zangu.

Kuna mtu ashawahi kufanya hivi? Alifanikiwa?
Soma albadeer wewe utaona wanaowachonganisha
 
Kama hakuna njaa kwenye wanafamilia migogoro inagoka wapi?
 
Unajishughulisha na nini?
 
Shida ni ndugu zako au mgonjwa ambaye ni baba yako?
 
Binafsi ninapitia kama anayopitia mtoa mada na kiuhalisia ni jambo ambalo linaudhi,kukera na kukatisha tamaa hasa pale unapojikuta Kati ya watu 50's ni 2 au 3 mnashirikiana na waliobaki kazi yao ni kutuma mashambulizi.
Kiufupi mimi ni mtoto wa 25 kati ya watoto 50's kwa baba yangu na kama ilivyo tamaduni ya wakurya kati ya idadi hip zaidi ya 30 ni nyongeza tu na kikwetu inakubalika(nje ya ndoa). Sasa mzee ana miaka 85 lakini tunaojitoa kumuhudumia ni 3 tu na ni wadogo kiumri lakini wakubwa wote hawajali na hata hawashiriki hata mzee akiwaita kujadili pamoja tatizo linapotokea.
Mwaka juzi(2022) mzee aliugua sana lakini bahati mbaya mimi nipo Songea,mdogo wangu Kigoma na mwingine Dar ambao ndio tumejitoa kumuhudumia, tulikuwa tukiwauliza hali ya mgonjwa wanasema amepona lakini baadaye moyo ukagoma tukamtuma wa Kigoma akamuone kufika kakuta mzee yupo hoi ikabidi kuwahishwa hospital kufika tu ikaonekana Mzee ana tezi dume na amekaa nayo muda anahitaji operation haraka na baada ya operation ikagundulika amepata saratani ya tezi dume pia.Matibabu yake alikaa mwezi mzima hospitali lakini hakuna yeyote aliyekuja wala kupiga simu kumjulia hali isipokuwa walikuwa wanatoa matangazo"AKIFA WATATUTAMBUA NA KUTUELEZA WAMEMUUAJE"WANATAKA KUMPELEKA FREEMASON"
Hapo alitoka salama japo tulitumia hela nyingi lakini akawa bado anahitaji kuhudhuria kliniki Bugando kila baada ya miezi 3,napo changamoto ni ile ile hakuna anayeshiriki zaidi majungu kuwa wanajifanya wana hela na kujifanya wanampenda zaidi na lazima mmoja wetu amfate na kumpeleka tofauti na hapo hakuna wa kumpeleka.Tukirudi kiuchumi ndg zetu hawa wanatuzidi mbali sana japo kwenye nafsi zao Mzee sio kipaumbele/muhimu.Na mpaka familia imegawanyika vipande vipande na hata tukikutana njiani hakuna salamu wala kutembeleana na sababu haipo zaidi tu mitazamo ya watu kuwa potofu.
TULIWEZAJE KUHIMILI SISI 3 KATI 50's?
Tuliamua kufata nafsi zetu bila kuangalia kipato chetu maana mzazi ni bora kuliko hela tunazopata na kuhusu muunganiko wa familia tuliamua kila mtu afate anachoona kinamfaa maana kuna watu wanaishi kwa furaha japokuwa hawajui hata ndugu zao wanafananaje,wanaishi wapi na hata ukoo wao.
Binafsi mimi nalaani utamaduni wetu wakurya wa kulea na kuamini mtoto akizaliwa ndani ya ndoa hata kama inaonekana kabisa anafanana na jirani au ulisafiri ukarudi ukakuta wameongezeka 3 ni wako tuuache maana huwezi jua baba aliyetungisha mimba alikuwa mtu wa aina gani? yawezekana alikuwa mwehu,tahira,ana laana ya kutojali wazazi alioachiwa, alikuwa jambazi/mwizi na mwisho wa siku mtoto akifanana naye hawezi kushirikiana na Hawa wa ndani ndoa na wala kujali Mzee huyu maana hata vinasaba haviendani.
Mwisho mtoa mada timiza wajibu wako kwa mzazi/wazazi na kuhusu malumbano na vingine vya ndg vipuuze maana haina haja ya kutafuta amani kwa mtu mliotofautiana mtazamo,cha muhimu ishi na wale mnaofanana na mjifanye nyie ndio ukoo pekee uliobaki.
 
Tunzeni mzazi wenu ktk uzee wake! Pia umasikini ndo unawasumbua tafuteni pesa!
Nyumba yenye njaa ndo yenye kelele nyingi!
 
Ushauri mzuri
 
Kama una uwezo ebu jaribu kuhudumia kama upo alone vile yaani jione wewe ndio kila kitu...Mtakuja kummaliza mtu kwa mabishano ya hovyo ,baba angu enzi mzee wake akiwa akiumwa anamleta nyumbani hataki ujinga japo wapo 10 ile yeye ndo wa kwanza ..Haombi hata thumni kwa mtu .

Mambo ya familia jaribu kujitafuta then kupambanie wazazi wako kivyako mimi pakiwa na shida home labda ya laki 2,3 siwezi kuhesabu labda mtu katoa laki moja mimi nimalizie moja,kwa vile wote wanatumia wazazi natuma kamili haijalishi nan katoa ..

Mambo ya familia ndio chanzo cha wengi kutaka kufanya kazi mbali na kwao ,ila sipo active kama familia tupo wachache hamna mtu wa hovyo kila mtu na kwake.
 
Una uhakika siyo madhara ya umasikini?

Matatizo hayakimbiwi yanakabiliwa.

Inatakiwa kwemye ukoo mkubwa kabisa ki umri ndiye awe captain na uamuzi wake uheshimiwe.
Ulichokiongea ni kweli kabisa, lakini kutokana na umaskini unakuta mwenye hela ndio Captain mkubwa Hana kitu.
 
Pole sana mkuu, chunguza chanzo ni nini, baada ya hapo utajua pa kuanzia
Kuwa sehemu ya familia yako kupatana (muunganishi na mpatanishi)
 
Back
Top Bottom