Natamani nichukue maamuzi magumu sana

Natamani nichukue maamuzi magumu sana

Unajua mambo ya familia na migogoro inakera sana, kama hapa tunauguza Mzee yupo hoi kitandani, mara ndugu Hawa wanasema hichi, mara bimkubwa nae anasema hichi, ndugu nao badala waonyeshe umeona wapambane wanakua wanapishana.

Yani familia nyingne kuzaliwa ni mikosi tu, Kuna weza kusiwe na njaa lakini migogoro, ulevi na kutokuelewana kukapoteza amani kabisa.

Sasa Kwa mtu kama Mimi nnaependa amani natamani nipotee kabisa, nibadlishe namba ya simu na account zangu Facebook, nipotee tu Mimi kama Mimi nisijulikane nilipo na wao nisijue wanaendeleajee nianze maisha yangu Mimi kama Mimi, Yani niwe kama Sina ndugu Wala wazazi, jirani zangu ndio watakua ndugu zangu.

Kuna mtu ashawahi kufanya hivi? Alifanikiwa?
Mimi nikifanikiwa Mkuu,sina mawasiliano na ndugu yeyote na hakuna ajuae nilipo kwa sasa.
 
Unajua mambo ya familia na migogoro inakera sana, kama hapa tunauguza Mzee yupo hoi kitandani, mara ndugu Hawa wanasema hichi, mara bimkubwa nae anasema hichi, ndugu nao badala waonyeshe umeona wapambane wanakua wanapishana.

Yani familia nyingne kuzaliwa ni mikosi tu, Kuna weza kusiwe na njaa lakini migogoro, ulevi na kutokuelewana kukapoteza amani kabisa.

Sasa Kwa mtu kama Mimi nnaependa amani natamani nipotee kabisa, nibadlishe namba ya simu na account zangu Facebook, nipotee tu Mimi kama Mimi nisijulikane nilipo na wao nisijue wanaendeleajee nianze maisha yangu Mimi kama Mimi, Yani niwe kama Sina ndugu Wala wazazi, jirani zangu ndio watakua ndugu zangu.

Kuna mtu ashawahi kufanya hivi? Alifanikiwa?
Nilihamishiwa kikazi sehemu ambayo sikuwataarifu na nilikaa kimya kwa miaka miwili nikiwa nimefunga accounts zangu zote za social media kasoro hii tu ya JF maana hawaijui. Baada ya huo muda nikaamua kuwajulia hali, walishikwa na mshangao mkubwa Sana. Kiufupi kwa hali ya familia yako itakusaidia Sana kupunguza stresses na kurekebisha baadhi ya mambo juu yako.
 
Mkuu muuguze mzee na mwekewe mazingira mazuri mama yako. Wengine achana nao.
 
Nilihamishiwa kikazi sehemu ambayo sikuwataarifu na nilikaa kimya kwa miaka miwili nikiwa nimefunga accounts zangu zote za social media kasoro hii tu ya JF maana hawaijui. Baada ya huo muda nikaamua kuwajulia hali, walishikwa na mshangao mkubwa Sana. Kiufupi kwa hali ya familia yako itakusaidia Sana kupunguza stresses na kurekebisha baadhi ya mambo juu yako.
Ushauri mzuri sana
 
Unajua mambo ya familia na migogoro inakera sana, kama hapa tunauguza Mzee yupo hoi kitandani, mara ndugu Hawa wanasema hichi, mara bimkubwa nae anasema hichi, ndugu nao badala waonyeshe umeona wapambane wanakua wanapishana.

Yani familia nyingne kuzaliwa ni mikosi tu, Kuna weza kusiwe na njaa lakini migogoro, ulevi na kutokuelewana kukapoteza amani kabisa.

Sasa Kwa mtu kama Mimi nnaependa amani natamani nipotee kabisa, nibadlishe namba ya simu na account zangu Facebook, nipotee tu Mimi kama Mimi nisijulikane nilipo na wao nisijue wanaendeleajee nianze maisha yangu Mimi kama Mimi, Yani niwe kama Sina ndugu Wala wazazi, jirani zangu ndio watakua ndugu zangu.

Kuna mtu ashawahi kufanya hivi? Alifanikiwa?
Mkuu unahitaji ushauri wa kisaikolojia. Hebu kwanza eleza kwa ufupi/urefu hilo tatizo linalokusibu tulipime uzito wake. Umeandika kwa ufupi bila kuonyesha chanzo cha hayo maamuzi unayotaka kuyachukua. Please funguka zaidi watu wanaweza kupata la kujifunza.
 
Kama una mke na watoto hiyo ndio familia yako; pia unaweza kuongeza familia yako nyingine kama kuwa na vijana wa kazi, biashara n.k
Muhimu ni kuwa na amani ya nafsi; kumbuka tunaishi mara moja na si vizuri kubeba kero za wengine na kupunguza furaha uliyonayo.
Ata ukipiga mahesabu kama ndio wewe umepata hiyo changamo, wao watakusaidia kwa lipi? Kama jibu ni hakuna, pambana na maisha yako na hao ndugu piga chini.​
 
Back
Top Bottom