Natamani kuoa

Natamani kuoa

wanaume na nyie mnajifikiria sana. si uoe tu mambo mengine yatajulikana huko huko. wewe unatamani fanya maamuzi sasa. ngoja hiyo tamaa yako iyeyuke na huyo binti unaetaka kumchunguza miaka mia utajikuta wampoteza.

Hahaaha....wanaune hua tunawaza sana maana ndo tunabeba majukum yote...ayo majukum sawa ni maneno tu..
 
siku hizi jf kila jamno tunaambiwa si la kuomba ushauri. jamaniii!!!!

Kama ni zaman basi iyo tabia iliitwa umachinoo...mtu anajifanya mr logics....wasalimie kishmundu ukooo
 
Wamefanyaje tena hao hebu tema biggee tuwachape maana wanaharibu konsentration ya watu wakati wanakula raha zao

big g yangu haijaisha utamu. sitemi ng'o. vipi uko poa lakini? unaninyima nini pande hizo?
 
Hahaaha....wanaune hua tunawaza sana maana ndo tunabeba majukum yote...ayo majukum sawa ni maneno tu..

siku hizi mambo kusaidiana, halafu maswala kama haya muhimu kumshirikisha mwenza wako ajue mapema uko tayari kutangaza nia lini. we endelea kuchunguza kimya kimya, mdada akiona muda unaenda hugusii ndoa huyo anachapa lapa. watu wenyewe siku hizi tuna njia kuu na michepuko. usiseme hujaonywa.
 
Hahaha...kaz kwel kwel..ila kama she z meant to stay ataendelea kunvumilia coz ntampenda ile ileee...tehe
 
Kama ni zaman basi iyo tabia iliitwa umachinoo...mtu anajifanya mr logics....wasalimie kishmundu ukooo

nashangaa!! watu tunaface challenges tofauti tofauti katika maisha. wewe unaonaje jambo la mwenzio sio la kuomba ushauri!!! tabia mbaya tu.
 
big g yangu haijaisha utamu. sitemi ng'o. vipi uko poa lakini? unaninyima nini pande hizo?

Niko poa aise. Porini wamenikimbiza wanasema namaliza matunda yao eti na dawa zao za mitishamba
Basi hebu tafuta fimbo ya kibinadam tumchape nayo maana anasumbua sana
 
nashangaa!! watu tunaface challenges tofauti tofauti katika maisha. wewe unaonaje jambo la mwenzio sio la kuomba ushauri!!! tabia mbaya tu.

Kuna wengne wao madai yao maosha yashakua lami hawana tatzo na kwa maana iyo they dnt share...awa ndo hua wanakufa na msongo wa mawazo.....wacha sie tujiachie na mmu..by the way ndo eneo lenyewe il
 
Back
Top Bottom