kwa umri huo wako, lazima ugongewe mkeo, kwa sababu bado hamjakomaa, kwani sasa hivi unajishugulisha na nini? au bado unafanya asignment? na pia acha kuangalia chereko, cheki mpira ili utamani kuwa kiungo.
Wanasumbua kweli humu mtu hajaongea hata na mke wake anakimbilia hapa ooh mara mke wangu kamaliza chakula hajaniwekea eti kisa amekula mgeni,oooh mke na shemeji yangu siwaelewi wako karibu mno yaani watu hata hawajui ndoa nini maana yake na kuna vitu vya kuomba ushauri si kila kitu tu unakimbilia huku
Sijamkashifu mtu hapa wewe unatamani kuoa halafu wa kumuoa huna unataka sisi tukusaidie kuchagua wa kumuoa? si kila jambo la kuomba ushauri narudia tenaNasisi tukifikia mlipofika nyie tutaanza kuleta adth za aina ya gar ya kununua..raman za nyumba,vjui site na mengne...i thnk ts our time we have to let these stuffs hapen....so let us be mkuu...kashfa hazijawah kusaidoa ppte....
Sijamkashifu mtu hapa wewe unatamani kuoa halafu wa kumuoa huna unataka sisi tukusaidie kuchagua wa kumuoa? si kila jambo la kuomba ushauri narudia tena
Ni kweli kabisaaaHii inatupa picha kua kwa kias kikubwa jf eneo hil n vijana ambao bado hawajaoa/kuolewa.....
Najua watoto wa kambo wana chuki sana. Ila uzuri ni kwamba mamako huwa ananiambia udhaifu wenu. So usijali. Mzazi ni mzazi tu japo wa kambo kikubwa heshima
Sijamkashifu mtu hapa wewe unatamani kuoa halafu wa kumuoa huna unataka sisi tukusaidie kuchagua wa kumuoa? si kila jambo la kuomba ushauri narudia tena
kuna watu wachokozi jamaniiiii!!!!!!