Natamani kuoa

Natamani kuoa

Natamani???!!!!

Kuoa ni uamuzi sio kutamani

Bas kwa uelewa wangu hua najielewesha kua ukishataman ndo unafanya uamuzi...kwa mfano umemtamani msichana mzuri alaf badae unafanya maamuz ya kuanza kumpigia misele....stand to b corrected mkuu....
 
hahha,mi namtania bana...wimbo akisikiliza lakn utamsaidia kutafakari ,kuoa ni jambo jema but ajipange

Haha...na we unataman icho kitendo au unantamania mm nnaetama kitendo!
 
Bas kwa uelewa wangu hua najielewesha kua ukishataman ndo unafanya uamuzi...kwa mfano umemtamani msichana mzuri alaf badae unafanya maamuz ya kuanza kumpigia misele....stand to b corrected mkuu....

Mkuu tunatamani vingi kama viatu,nguo,magari na hata. Magari ila ndoa usiingie kwa sababu unatamani...!!!!!

Ndoa ni uamuzi haswa kaka sijui nikuelezeje ngoja nikuitie brothers!!!

watu8, Mr Rocky, Tized, Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Mkuu OLESAIDIMU nishamueleza sana na wala sio kidogo kuwa ndoa sio ya kutamani ila ndoa umedhamiria na unajua unafanya nini na kwa nini unaingia kwenye ndoa na sio shinikizo au sijui unatafuta mtu wa kukupikia na kukufulia
 
Last edited by a moderator:
Bas kwa uelewa wangu hua najielewesha kua ukishataman ndo unafanya uamuzi...kwa mfano umemtamani msichana mzuri alaf badae unafanya maamuz ya kuanza kumpigia misele....stand to b corrected mkuu....

usijipe presha bure muda ukifika na ukipata mtu sahihi ndia itakuja automatically,ila ni vizuri kujiwekea malengo pia
 
Mfamaji na mwenye tamaa. Tangu mgogoro wa RA umeanza kaona wapi chama Chake kikamkemea RA. Kama RA ni mchafu na anakumbatiwa na chama basi na afanye kama alivyosema kuwa ana Profession yake na aache siasa au na ahame kama alivyosema Dr Slaa.
Hii siasa ya kupakana matope aliyoipigia kelele ndio anaifanya yeye. Kagombana na RA sasa anawaingiza kina Manji na Viongozi wengine. Akisema viongozi kwetu sisi si wengine bali ni makada wa CCM. Sasa chama kilichofikia hali hiyo ya kutembeza mabakuli kwa kina Manji na bado unakingangania tu. Kweli invunja moyo na inatufunuwa macho sisi wavimba macho. Watu wanataka uongozi kuendeleza mapambano ya kibiashara na mtu anapokabiliwa basi huwa tayari kutoleana siri.

Daaah kaka kama mimi pia napenda kuoa mapema nitulie na familia yangu
 
unatamani kuoa au unahitaji???

usiforce mambo mimi nachojua ukikaa na mtu hilo swala linatokea naturally

mambo ya kutamani ni kama mtoto,nyumba,gari,chakula,

sasa wewe kwa kuwa interest na mtu haimaanishi ndo umuoe ingekuwa hivyo hata watoto wa form two wangeoa maana na wenyewe wanapendanaga

lifanye hitaji then mshirikishe mungu,lakini jitengenezee tabia ya kukinga tamaa zako,

jaribu kujiandaa kabla hilo swala halijatokea naturally

kwa maelezo zaidi nenda love conect
 
usijipe presha bure muda ukifika na ukipata mtu sahihi ndia itakuja automatically,ila ni vizuri kujiwekea malengo pia

Sure...ila kinachonsumbua zaid n kua nataman kungia kwenye mahusiano ambayo mwshowe yatazaa mke na mume ambapo ndo ivoo nataman kuoa mapemaaa..

Tofaut na ivo either nisiingie kwe mahusiano au nisiwe real(yan nakua na hisia na mwanamke nikionana nae..akiondoka ndo ntolee)
 
unatamani kuoa au unahitaji???

usiforce mambo mimi nachojua ukikaa na mtu hilo swala linatokea naturally

mambo ya kutamani ni kama mtoto,nyumba,gari,chakula,

sasa wewe kwa kuwa interest na mtu haimaanishi ndo umuoe ingekuwa hivyo hata watoto wa form two wangeoa maana na wenyewe wanapendanaga

lifanye hitaji then mshirikishe mungu,lakini jitengenezee tabia ya kukinga tamaa zako,

jaribu kujiandaa kabla hilo swala halijatokea naturally

kwa maelezo zaidi nenda love conect

Nimekuelewa dada wabkimasai
 
Back
Top Bottom