Natamani kuoa

Natamani kuoa

wewe una 25 huyo anayetafutwa awe na mingapi? mkifikisha 30 mmeshachokana ile mbaya, pia kwa hayo mapochop[ocho unayoyataka visichana vya siku hizi kupika havijui kwahiyo jiandae kwenda kula mapochopocho unayoyataka kfc na siyo kwa huyo baby wako
 
wewe una 25 huyo anayetafutwa awe na mingapi? mkifikisha 30 mmeshachokana ile mbaya, pia kwa hayo mapochop[ocho unayoyataka visichana vya siku hizi kupika havijui kwahiyo jiandae kwenda kula mapochopocho unayoyataka kfc na siyo kwa huyo baby wako


Tehe tehe...awe kuanzia 20 kuja juu...ata akiwa kanzid poa tu...umri kitu gan bana(ofcoz kwa kizaz chetu ik we dnt give a damn abt age...they ar jst numbers.....)
 
mi natamani kuoa hata leo, ila sina hela!
 
Tangu niwe na akili za kujitambua mm ni nan nilikua na ndoto...ndoto yangu ilikua iv "when i turn 25yrs,ts when i wish to be in strong r'ship and when i wil get marriade too"

This thing is killing me..each and everyday i think of kuoa...kibaya ni kua bado sijampata nnaedhan anaweza kua mama watoto(kuna ambae niko interested nae ingawa i stil need time to know her kabla cjamwambia any step ahead)..

Kwa hali niliyonayo ya kuwaza kuoa kila ck najiona jinsi ambavyo naweza kujikuta naoa mapema!!!!.....kuna wkt nahc labda coz napata shda kupka..na mambo mengine labda ndo mana i gat tht strong feeling...

Embu wenye ujuzi kwa maana ya experiance wanijuze ni kwamba najiendekeza au ndo ivo kuna wakat hitaj linakua ndo ilo mpaka uoe!!!..au itafkia mahal itaisha!...

As to me nahis bado nna yakufanya mwenyew..angalau 2-3yrs to come naweza kua tayar kuoa.....

sidhani kama umemkosa wa kumuoa labda hujaamua tu!!,the way navyokujua na sauti yako tamu tamu kwel hukosi wife!
 
Zamaulid na badiebey mna maana magombe junior anatafuta kijanja hapa au imekuwaje sijawapata vyema
Mkuu wala sio kwamba hisia zitaisha ila jiulize swali moja kuu unaoa kwa sababu gani au una hizo hisia za kutaka kuoa kwa sababu gani
Kwa kuwa umemuona fulani kaoa au kwa kuwa unahitaji sex ya haraka haraka au kwa kuwa unahitaji kujiondoa upweke unaokukabili au unataka mtu wa kukufulia na kukupikia
Ukishajijibu swali moja kuu kwa nini una hisia za kutaka kuoa then hapo utaweza kufanya maamuzi ila kama huna jibu basi endelea kula raha
Huyo anataka kipochi cha uhakika basi ndo hawa wakioa thread zinakuwa nyingi ooh mara muke yangu kafanya hivi ooh mara nalazimishwa kula mgogo yaani vururgu tupu
 
sidhani kama umemkosa wa kumuoa labda hujaamua tu!!,the way navyokujua na sauti yako tamu tamu kwel hukosi wife!

Hahahha...mom fay umenchekesha... iyo saut we umeckia wap!!....tehe tehs
 
Daudi1 umeona eehh ndo hao ambao hawajui maana halisi ya ndoa wanabakia kuja kulalamika kila siku
 
Last edited by a moderator:
Unataka kuoa kwasababu unapata shida kupika
si ukae na beki 3
 
binamu hebu nipe sababu tatu
sitakazonifanya nisimuite mleta mada kavulana!!
afu kaambie kaoe tu,ndoa tamu weee!!
 
Daudi1 umeona eehh ndo hao ambao hawajui maana halisi ya ndoa wanabakia kuja kulalamika kila sikui
Wanasumbua kweli humu mtu hajaongea hata na mke wake anakimbilia hapa ooh mara mke wangu kamaliza chakula hajaniwekea eti kisa amekula mgeni,oooh mke na shemeji yangu siwaelewi wako karibu mno yaani watu hata hawajui ndoa nini maana yake na kuna vitu vya kuomba ushauri si kila kitu tu unakimbilia huku
 
kwa umri huo wako, lazima ugongewe mkeo, kwa sababu bado hamjakomaa, kwani sasa hivi unajishugulisha na nini? au bado unafanya asignment? na pia acha kuangalia chereko, cheki mpira ili utamani kuwa kiungo.
 
nilijua utakuja na jibu kama hilo, ila uzuri hata yeye huwa anapika. Huo umri ni namba tu hata mtoto mwenye umri wa miaka 15 anaweza akawa na busara kuliko wewe

Najua watoto wa kambo wana chuki sana. Ila uzuri ni kwamba mamako huwa ananiambia udhaifu wenu. So usijali. Mzazi ni mzazi tu japo wa kambo kikubwa heshima
 
niwazo zuri ila usioe kwasababu ya uvivu wa kupika na kufua ila oa kama unaona unahitaji mtu wakushirikiana naye katika kutimiza ndoto zako za maisha
 
vijana wa mjini akiona mwezake kaoa nae anataka kuoa, swali jepesi kwako umejipanga bro?
 
Do it bwana, no nusra kwako na utakayemuoa. Halafu unaepushwa na mengi
 
Back
Top Bottom