Mr Eggo
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,028
- 1,051
Tangu niwe na akili za kujitambua mimi ni nani nilikua na ndoto...ndoto yangu ilikua hivi "when I turn 25yrs,ts when I wish to be in strong reletionship and when i wil get marriade too"
This thing is killing me..each and everyday I think of kuoa...kibaya ni kua bado sijampata ninaedhani anaweza kua mama watoto(kuna ambae niko interested nae ingawa I stil need time to know her kabla sijamwambia any step ahead)..
Kwa hali niliyonayo ya kuwaza kuoa kila siku najiona jinsi ambavyo naweza kujikuta naoa mapema!....kuna wakati nahisi labda sababu napata shida kupika..na mambo mengine labda ndo mana I gat that strong feeling...
Embu wenye ujuzi kwa maana ya experiance wanijuze ni kwamba najiendekeza au ndo ivo kuna wakat hitaj linakua ndo ilo mpaka uoe!!!..au itafkia mahali itaisha!...
As to me nahisi bado nina yakufanya mwenyewe..angalau 2-3yrs to come naweza kua tayari kuoa.....