Natamani kumjua buji buji

shost punguza jazba ee sote ni ndugu matusi ya nini tena si kakutania kwa nini uwe serious hovo lol

Yawezekana yeye yuko serious. Katendwa huko anataka kujaribu bahati kwa Bujibuji. Bujibuji alivyomujanja, kasema anamalizia kibarua chake ili kuonyesha anaishi mjini kwa kibarua wakati namuona amesimama humu kwenye daladala la Mbagala rangi tatu! Yuko bize na simu lake kubwa la mchina anachunguliwa JF. Haya dada endelea uone mwisho wako!
 
Bujibuji ni PM basiiii

wapenzi wasomaji...namwona Bujibuji anajing'ata kucha za vidole vya mkono wa kuume, Bujibuji anatazama chini kwa aibu za mahaba ya ijumaa angavu...huyo Bujibuji anajinasibu kwa kibao cha FidQ na Matonya...huyo Bujibuji.

NOT ENOGH hii nzuri aisee, asikwambie mtu! kila la kheri mpaka moyo uwe kwatu
 
Funny_Pictures_Animated_Dancing_Cat.gif
 
Hebu m- MP Bujibuji kupitia C/o Mtambuzi nitawasilisha salaam.........
Mtambuzi, mi ndio maana nakupenda sana, ulijuaje kuwa lile sanduku langu la PM halifanyi kazi siku hizi?
Asante sana kwa msaada wako.

Halafu kaka ngoja nikuvujishie siri, usiwaambie watu lakini.
Kuna PM moja nilitumiwa na cacico, kwa kuwa mimi nimesahau kusoma nikampa Mbuzi Mzee anisomee. Nikawa nimemziba masikio kabisa ili asiweze kusikia kile alichokuwa akinisomea.
Cha ajabu ni kwamba nikakuta ule ujumbe umesha sambaa hadi Boflo na watu8 wakaupata.
Sijui ile siri ilivujaje wakati mimi nilimziba kabisa masikio Mbuzi Mzee??
 
Last edited by a moderator:
Jamani za siku, nilikuwa nimebanwa na shughuli kidogo ndo maana nikapotea wapendwa.
Hivi jamani nitampataje BujiBuji mimi namzimia sana na ningependa kukutana nae. Je unaishi mkoa gani na unafanya kazi gani? una familia au uko single?

Mbona namba yake ya simu alishawekaga hapa, kwa aliyepoteza laptop? au nikupe??
 
uuuuuuwi! Bujibuji natamani ningekuwa kwenye nafasi yako!!!sikiliza Bujibuji tubadilishane ID zetu kwa muda nifanyie kazi kilio cha NOT ENOUGH baadaye nitakurudishia!!!pm chap chap password yako!mi nisha ku pam ya kwangu!utakuwa Zamaulid kwa muda!!!
 
Back
Top Bottom