imethibitishwa Bujibuji hana sumu
Kumbe na wewe una aibu na kujidai kote kule???
Funguka bana, unaniangusha
shost punguza jazba ee sote ni ndugu matusi ya nini tena si kakutania kwa nini uwe serious hovo lol
Hongera sana mkuu,naona libahati limekudondokea!Ngoja nimalizie kimeo cha mwajiri halafu ntakuja kujihendsamisha kwako.
Dada mada uliyoitoa ni nzuri sana,lakini heshima yako inashushwa na utumiaji wa lugha za kiuni na matusi.Nashauri uombe radhi,ili nasi tuendelee kujadili hoja hii tukiwa hatuna kinyongo na wewe!Ondoa UNGESE wako hapa
Mkuu ukiona hivyo ujue huna mvuto!Hivi mimi mbona sizimikiwi jamani, am handiiii bhandu bha kyala
Poti changamkia 'dili' hiyo, usin'dondoshe!Kumbe uzi kwenye jukwaa la mapenzi?? Dah kweli binti kakolea, mi nilidhani tuko kwenye jukwaa la ucheshi
imethibitishwa Bujibuji hana sumu
Shauri yako BujiBuji ni mtu wa misele tu ukienda huko utakufa njaa wewe nizimie mimi hapa.
Huoni Bujibuji muda wote yuko jamvini
Jamani za siku, nilikuwa nimebanwa na shughuli kidogo ndo maana nikapotea wapendwa.
Hivi jamani nitampataje BujiBuji mimi namzimia sana na ningependa kukutana nae. Je unaishi mkoa gani na unafanya kazi gani? una familia au uko single?
Jina lake halisi ni BABA UJIUJI......shauri yako