Natamani kumjua buji buji

NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
597
500
Jamani za siku, nilikuwa nimebanwa na shughuli kidogo ndo maana nikapotea wapendwa.
Hivi jamani nitampataje BujiBuji mimi namzimia sana na ningependa kukutana nae. Je unaishi mkoa gani na unafanya kazi gani? una familia au uko single?
 
Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,461
2,000
Bujibuji ana mke na watoto sita na anaishi Puge Nzega, unaweza kumpata kwa anuani hii

Bujibuji Ng'wanambiti
Shirika la Ugoro Tanzania
S L P 000235
Puge \Nzega
Tabora

kwa hiyo Mtambuzi unampeperushia bujibuji ndege wake kam namwona vile anaona aibu ku cross the bush hahahahahahhah Bujibuji ndege mjanja tundu bovu vile hahahahahah oh sijawahi tokewa sasa utajibebeaje lol!!
 
Last edited by a moderator:

majany

JF-Expert Member
Sep 30, 2008
1,224
2,000
Jamani za siku, nilikuwa nimebanwa na shughuli kidogo ndo maana nikapotea wapendwa.
Hivi jamani nitampataje BujiBuji mimi namzimia sana na ningependa kukutana nae. Je unaishi mkoa gani na unafanya kazi gani? una familia au uko single?

Amini nakwambia huu uzi ungekua kule kwetu CHITCHATTERS.......ungefungia mwaka...khaaaaa...haya Bujibuji tiririkaaaaa!!!
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom