Natamani kumjua buji buji

Jamani za siku, nilikuwa nimebanwa na shughuli kidogo ndo maana nikapotea wapendwa.
Hivi jamani nitampataje BujiBuji mimi namzimia sana na ningependa kukutana nae. Je unaishi mkoa gani na unafanya kazi gani? una familia au uko single?

Mipira iliyo kufa kama hii enzi zangu ningalikuwa tumesha piga lunch tayari tukisubiri w.end kujuana
 
Niliikemea, ila hadi leo sijapata maana yake. Najiliwaza tu na comedian wetu bujibuji na majibu ya ajabu
pole,ila siyo kila ndoto inakuwa na maana kama ulivyoiota!!mbona Bujibuji aliota anajifungua,ilikuwa ndoto tu na wala haikumuumiza kichwa kwani toka lini mwanamme akajifungua!!na wewe yako huenda ilikuwa ndoto tu!!!usiipe nafasi sana utakufa kwa hofu!
 
Last edited by a moderator:
He he he, ngoja nika-update lile gazeti la udaku

'Bujibuji atongoza, afunika uso kwa soni, amaliza majani yaliyokuwa karibu yake"

He he he, kwenye raha ya mtongozo aibu

we hujui raha ya kutongozwa nini??
Hebu ngoja nikuwekee haka kawimbo katakufundisha kitu
 
Last edited by a moderator:
He he he, na kw taarifa zilizonikia hivi punde
Mtambuzi ni baba yako mlishi, orijino ni yule korokoroni wa gereji mtaa wa 3

unashangaa nini sasa na wewe? watoto wa dot com tunauliziaga, manake Kongosho anadai nimebebewa juu ya nguzo ya umeme. una taarifa zangu?
 
Last edited by a moderator:
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom