Natamani kumjua buji buji

Bujibuji hujui huyo bidada ndio huyo hapo kwenye AVATAR yake anamkutia mkeo lol
 
Last edited by a moderator:
Ni hivi

Bujibuji kaombwa ashushe nguo zake, apakwe dawa kwenye kibarango chake mgongoni
Eti anamwonea aibu nesi, kutwa nzima anauma uma majani

Nesi hadi katoa machozi, buji hajaeleweka
Hadi naingia mitamboni, Buji hajatuma hata PM moja ya mashambulizi

Kongosho heshima kwako. Kweli kiswahili ni kigumu, sijaelewa kitu
 
Ni hivi

Bujibuji kaombwa ashushe nguo zake, apakwe dawa kwenye kibarango chake mgongoni
Eti anamwonea aibu nesi, kutwa nzima anauma uma majani

Nesi hadi katoa machozi, buji hajaeleweka
Hadi naingia mitamboni, Buji hajatuma hata PM moja ya mashambulizi

Huyu atakuwa ana siri nzito anamficha mrembo. Kitu size ya lollypop
 
NOT ENOUGH!!!umetamani kitu kibaya sana,huyo anajulikana!!kauza nyumba anashinda relini siku hizi!!bora ungetamani kuingia anga ya Mbuzi Mzee ungeambulia hata kupigwa picha atuletee hapa jamvini!!
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji ana mke na watoto sita na anaishi Puge Nzega, unaweza kumpata kwa anuani hii

Bujibuji Ng'wanambiti
Shirika la Ugoro Tanzania
S L P 000235
Puge \Nzega
Tabora

Ha ha ah haaaaaa @Mtambuzi mbona un kiherehere hivyo jamani? Hayo ya ana mke na wato si uache ajieleze mwenyewe? Btw, buji alishahamia da! Lol!
 
Back
Top Bottom