Natamani Kujiua

Natamani Kujiua

Tafuta wataalam wa afya ya akili wakupe ushauri jinsi ya kukabiliana na matatizo yako, kujiua hakutatui tatizo ulilonalo coz utawaumiza watu wansikupenda.

Nenda MNH, tafuta wataalam wa afya ya akili wakusaidie, we all go through tough times in life, Ila jinsi ya kukabiliana na matatizo tunatofautiana.

Siku hizi ukileta mada kama yako "great thinkers" watakurushia kila aina ya kebehi, wasijue kuwa everyone goes through rough patches at some point in life.

Be strong brother!!!
 
Nenda kwa mama yako haraka ukarudishe uhusiano wako kwake. Yeye ndie atakutengenezea njia yako ya Maisha.



( وَقَضَىٰ رَبُّكَ أَلَّا تَعْبُدُوا إِلَّا إِيَّاهُ وَبِالْوَالِدَيْنِ إِحْسَانًا ۚ إِمَّا يَبْلُغَنَّ عِندَكَ الْكِبَرَ أَحَدُهُمَا أَوْ كِلَاهُمَا فَلَا تَقُل لَّهُمَا أُفٍّ وَلَا تَنْهَرْهُمَا وَقُل لَّهُمَا قَوْلًا كَرِيمًا )

الإسراء (23) Al-Israa

Na Mola wako Mlezi ameamrisha kuwa msimuabudu yeyote ila Yeye tu, na wazazi wawili muwatendee wema. Mmoja wao akifikia uzee, naye yuko kwako, au wote wawili, basi usimwambie hata: Ah! Wala usiwakemee. Na sema nao kwa msemo wa hishima.
 
Mtu wa kujiua huwa hatangazi...bali huchukua maamuzi ya kuibeba DHAMBI HIYO KUBWA.
Anyway, it is obvious bado unahitaji kuishi.Kama NDIYO, napenda nikushauri yafuatayo;
1.Rudi kwa mola wako kwa kutubia makosa yako.
2.Rudi nyumbani ukakutane na mama yako ili umuombe msamaha ili upate radhi za mama.Kumbuka, pepo yako iko chini ya nyayo zake.
3.Tafuta mchumba mwenye akili ya maisha ili muanze maisha mapya ya bwana na bibi ili muijenge familia yenye upendo.
4.Jilazimishe kutoa sadaka.
5.YATEKELEZE HAYA YOTE KUANZIA 1-5.
Alamsiki.
 
Habari Wana JF, Kama Heading Inavyosomeka Hapo Juu, Mimi Ni Kijana wa Miaka 29, Nimeajiriwa, Kazi Imenitenganisha Na Familia,( Mzazi Mmoja ambaye Ni Mama, Maana Baba Alifariki Kipindi Nikiwa Mdogo, Nimekua Mlevi Kupindukia, Simu Sipigi Nyumbani, Hela Siioni Inakoelekea, Mama Sina Mahusiano Nae Mazuri, Mahusiano Yangu Hayaeleweki.
Misuko Suko Kibao, Ajali Haziishi, Sioni Wapi Naelekea, Asubuhi ya Leo Wakati Natoka Club , Nikiwa Na Mwanamke Niliempata Huko, Nimepata Ajali Mbaya Sana, Nimepata Majeraha Madogo Tu, Ila Gari Imeumia Sana, Na Kwa Vile Nilikua Nimelewa, Nikampigia GF Wangu Akaja Kushughulikia Kuivuta Gari, Mimi Na Yule Mwanamke Tukawa Tumeshaondoka, Hata Sikufikiria Kama Nitakutwa.

Mbaya Zaidi Nikafumaniwa Na Yule Mwanamke, Ilikua Aibu tupu Mtaani, Naona Siheshimiki Tena, Nyumba Ninayoishi Ni Ofisi Nipo Na Baadhi ya Staff Wenzangu wapo Na Familia Zao, Sijatoka Nje Siku Nzima ya Leo, Kilicho Kichwani Kwangu Ni Kujiua Tu, Sitamani Tena Kuishi, WHY ALWAYS ME? Nimemkosea Nini Mungu, Najua Natenda Dhambi, Ila Niende Huko Labda Nitapumzika. Samahanini Kwa Maelezo Yangu Marefu
Ila Hili Lipo Moyoni Mwangu na Lazima Nilitekeze, Napokea Maoni Yenu Wadau, NAKOSEA WAPI?
Midhali umetafakari ukafikia hatua ya kuomba ushauri tayari umegundua njia unaliopita awali haikuwa sahihi, mama ni mtu muhimu sana katika muongozo wa maisha yako, rudi kwa mama mpigie magoti muombe radhi atakusameh, weka nia ya dhati kuacha pombe haina faida kwako, Mtangulize Mungu kwakila jambo lako atakusaidia na utafanikiwa, ikiwa utajiuwa utamkosea Muumba wako na mama yako utamuacha katika maumivu makali yasiyo na mfano.
 
Mtu wa kujiua huwa hatangazi...bali huchukua maamuzi ya kuibeba DHAMBI HIYO KUBWA.
Anyway, it is obvious bado unahitaji kuishi.Kama NDIYO, napenda nikushauri yafuatayo;
1.Rudi kwa mola wako kwa kutubia makosa yako.
2.Rudi nyumbani ukakutane na mama yako ili umuombe msamaha ili upate radhi za mama.Kumbuka, pepo yako iko chini ya nyayo zake.
3.Tafuta mchumba mwenye akili ya maisha ili muanze maisha mapya ya bwana na bibi ili muijenge familia yenye upendo.
4.Jilazimishe kutoa sadaka.
5.YATEKELEZE HAYA YOTE KUANZIA 1-5.
Alamsiki.
Asipoelewa hapa ndo basi tena
 
Toa mrejesho,bado upo hai?
Kama bado hujafa,fikilia,unakufa bila kuacha jina duniani? ie una kids?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom